Duh, labda hicho ni chuo cha online (virtual) na sio offline (real).Nimeshangaa kusoma hili tangazo linaloashiria kuwa Chuo cha Ardhi kimepanuka haraka sana kufikia saizi hi kwenye pichai. Ama picha iliyotumiwa inatuma ujumbe potofu au ndiyo hivyo, chuo kimepanuka!
View attachment 553023
Nimeshangaa kusoma hili tangazo linaloashiria kuwa Chuo cha Ardhi kimepanuka haraka sana kufikia saizi hi kwenye pichai. Ama picha iliyotumiwa inatuma ujumbe potofu au ndiyo hivyo, chuo kimepanuka