Hata kama hali ya maisha ni ngumu lakini sio kwa uongo na utapeli huu...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,697
Jamaa katokea eti alikuwa mganga na mbwembwe nyingi anadai sasa amerudi kwenye mambo ya kikristo na kumwamini Mungu anaomba msaada.

Kudanganganya sio shida shida ni pale anapodanganya hadi katikati ya Sala.
Hahahaa yaani anamwambia Mungu uongo huo aliotunga ili wapambe tuamini Tamthilia yake.

Baada ya kufanya usukununu na ufukunyungu ndani ya wiki tu, tayari, huyu mdau mafaili yake yote yameshadukuliwa na anajulikana kuliko anayovyodhani...


Sasa ni kama Sinema amezungukwa na watu wanaomjua fika huku akidhani kafanikiwa...


Sio Kila anaeomba kwa jina la Mungu anaongea na Mungu. Wengine huwa wanawapanga mnaosikiliza hayo maombi ili wawapige kirahisi.

Kwa muhutasari huyu jamaa ni tapeli mmoja aliyeingia nyumba ya Sala kuwin huruma za waumini kwa jina la Uganga, uchawi na zana za kiganga akikiri kuwa ameachana na hiyo tabia sasa anaanza maisha mpya huku akiitaji msaada kutoka kwa waumini kumbe ni tapel.
 
Msaada anatoa Mungu kwa waja wake. Kama kila muumini ataomba "assist" kanisani itakuaje? Kuamini au kujiunga na nyumba ya ibada isiwe chanzo cha kuonyesha unatatizo na kuhitaji huruma, kwa lugha nyingine waumini wote wamechagua njia mbovu kwa sababu inawanyima fursa na kuwafanya wawe ombaomba.
 
Unamuonea tu, akina Gwajima/Mzee wa upako na wenzao kila uchao wanapiga fiksi na kujipatia mahela mbona huwasemi?..acha uonevu mkuu.., muache ajipatie ugali aisee, usawa mgumu huu..
 
Unamuonea tu, akina Gwajima/Mzee wa upako na wenzao kila uchao wanapiga fiksi na kujipatia mahela mbona huwasemi?..acha uonevu mkuu.., muache ajipatie ugali aisee, usawa mgumu huu..
Kwan hapo kamtaja yupi uliemuelewa wewe
 
Jamaa yupi..picha?
00330898:26ff5e9ac5d0074fc6d3fd2d437b9ecb:arc614x376:w285:us1.png
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom