Kwa mashuhuda waliona tukio hili wanasema kua huyu ni mwizi wapikipiki apigwa mawe na waendesha bodaboda mpaka kufa maeneo ya kongowe leo hii majira ya jioni hii mahala panaitwa kongowe kipara au...
Wakuu kwa kweli binafsi yangu nakiri video za whatsapp hazijawahi nisaidia zaidi ya kuniharibia siku.
Hii ni kutokana na matumizi mabaya ya wengi wetu kupenda kushare video zisizonufaisha...
Kampuni ya mabasi ya mwendokasi UDART kile kituo cha mabasi cha Kimara Baruti mnataka tuanze kufugia kuku kama hamtaki Kukitumia?
Toka mmezindua mradi wenu wakazi wa Baruti wanapata shida sana...
Kuelekea katika uzinduzi wa ujenzi wa Bomba la mafuta kati ya Tanzania na Uganda ,
Usikose kumfuatilia
Ndg, Suleiman Serera, Mtaalamu wa Sheria zihusuzo Uwekezaji, katika kipindi cha Mada Moto...
Wanajukwaa ile nmb ya zaman kweli sio ya sasa naona wanajiweka sawa kwa ushindani na kuboresha huduma lkn kwa hili wamenikumbusha mbali saana, zaidi ya miaka kumi na tano iliyopita; hakuna kitu...
Watu wawili mkoani Singida wameuwawa katika matukio mawili tofauti likiwemo la jambazi kuuwawa na polisi wakati wakirushiana risasi , na tukio lingine mtu mmoja kusukumwa na kuangukia nje...
Imezoeleka kuona mtu akila unga wa dona mweusi na mchungu kama ndio chakula bora. Ni kweli mahindi yaliosagwa moja kwa moja na mahindi yaliokobolewa yakasagwa yanautofauti kwenye nutrients, lakini...
Ndugu zangu muda huu ndo nimefika home nikitokea kwenye miangaiko ya kila siku, cha kushangaza nimekuta mwenye nyumba wangu kaongeza kufuri mlangoni kwangu kisa ananidai kodi,nimeenda kwake...
Ni kamsemo ambako naona kameanza kujizolea sifa na kushika sana kasi hapa mjini na kiukweli kama Mtu akikuambia ' kanaumiza ' kama siyo ' kanachoma ' sana hadi kumoyo kwani kwa anayekuambia huwa...
Hivi karibuni imetoka tafiti ya kampuni geopol iliyotoa orodha ya vituo vya radio na runinga ambavyo vinatazamwa sana ambapo kwa mujibu wa baadhi ya matokeo ya tafiti yao ambayo na mimi...
Serikali imekifunga Chuo cha Masjid Shafii kutokana kutotambulika shughuli zinazofanywa na chuo hicho ambacho pia hakina usajili.
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Singida imekifungia...
Zaidi ya shilingi milioni 168 ambazo zimekusanywa na watumishi wa halmashauri ya mji wa Tunduma kama ushuru wa magari yanayovuka mpaka wa tunduma kwenda nje ya nchi hazijulikani zilipo, huku...
Nawapongeza sana NMB tawi la Kilosa kwa maandalizi ya maonyesho ya siku ya mwanamke duniani ambayo inategemea kufanyika tarehe 8/march. Endeleeni na huo moyo.
Kuna sehemu inafikia maishani matatizo yanakua yamekuzunguka chungu mzima. Ukifanya hiki shida, ukigeuka shida, ukitafakari yanazuka mapya ila naamini bado ipo sehemu ya maisha iliyo bakia...
Mashitaka yaliyopelekwa kwa Mkurugenzi wa Mashitaka wa Serikali DPP yanayomuhusu Mange Kimambi yamefikia 17 Sasa.
Hayo yalisemwa na Hoyce Temu Miss Tanzania wa Mwaka 1999 alipokuwa anahojiwa...
TAHADHARI KWA WALE WENYE MAGARI DAR ES SALAAM.
Kuna mzee mmoja wa makamo hivi, hupenda kuvaa kanzu, midomo yake imeungua kidogo. Mzee huyu ni MWIZI na JAMBAZI. Jinsi anavyofanikisha uhalifu wake...
Tunaomba mtusaidie na sie wenye vibamiya mtutengeze saizi zetu maana inatulazim kupiga kavu kwakua saizi zetu hakuna mie ndio mpaka nafungaga na balabendi ili nipige gem
Sent using Jamii Forums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.