maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,345
- 15,852
Wakuu kwa kweli binafsi yangu nakiri video za whatsapp hazijawahi nisaidia zaidi ya kuniharibia siku.
Hii ni kutokana na matumizi mabaya ya wengi wetu kupenda kushare video zisizonufaisha zikiwemo za utesaji watoto, ajali ,ugomvi, au tukio lolote la kikatili dhidi ya binadamu au hata wanyama. Kuna video unaweza download ukajuuta.. Mbaya zaidi video hazina caption hivyo kutokutoa tahadhali ni nini kimetumwa.
Sasa ni bora tu kupotezea video zote zinazotumwa kwa magroup hadi nione reaction ya wadau wengine ndio ntaamua inanifaa au hainifai. Japo zipo za kufurahisha na kuelimisha ila nyingi sio za manufaa. Naamini wapo humu waliokumbwa na hii adha ya kukutana na video za kuharibiana siku na kuzifungua bila kujua.