Dunia imekwisha kwa kile nilichokiona.

Dunia imekwisha kwa kile nilichokiona.

exalioth

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
2,395
Reaction score
4,152
Nimekuta ajari ya bodaboda dakka chache imeshatokea ambapo dreva alkua amebeba abilia wawili mwanaume na mwanamke mschana mlembo mlembo ivi

Pkpk ilipalamia mtalo na kuanguka dreva hakuumia sana ila ablia yule mwanaume kaumia goti lmebanduka na mshipa wa nyuma ya kisigino ukakatka kaumia mno

Chaajabu
dada mlembo amejipalaza kidogo tu sehem za kwenye paja na mkono, sasa mimi kilichonishangaza watu hasa wanaume namidevu yao wanakuja kuangalia tukio hawana habari nayule alieumia sana wanawahia kwa yule dada aliekua kajikwaruza seem ya paja

Yule dada alikua ameivuta nguo paja akaliacha wazi basi watu walikua wamejaa kwake sjui tunaelekea wapi, kila mtu pole dada pole dada dah kwakwel leo nmechoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapambo ya dunia hayo.
 
bila shaka hata wewe ulikuwa kwa huyo dada kuangalia paja. ulijuaje yaliyoendelea kwa huyo dada kama ulienda kutoa msaada kwa huyo mgonjwa mwingine??

kweli maisha bila unafki hayaendi
 
Nimekuta ajari ya bodaboda dakka chache imeshatokea ambapo dreva alkua amebeba abilia wawili mwanaume na mwanamke mschana mlembo mlembo ivi

Pkpk ilipalamia mtalo na kuanguka dreva hakuumia sana ila ablia yule mwanaume kaumia goti lmebanduka na mshipa wa nyuma ya kisigino ukakatka kaumia mno

Chaajabu
dada mlembo amejipalaza kidogo tu sehem za kwenye paja na mkono, sasa mimi kilichonishangaza watu hasa wanaume namidevu yao wanakuja kuangalia tukio hawana habari nayule alieumia sana wanawahia kwa yule dada aliekua kajikwaruza seem ya paja

Yule dada alikua ameivuta nguo paja akaliacha wazi basi watu walikua wamejaa kwake sjui tunaelekea wapi, kila mtu pole dada pole dada dah kwakwel leo nmechoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe ulikuwa unakodolea wenzako wanaotoa pole kwa dada tu. Kwa nini hukuenda kutoa huduma kwa majeruhi?
 
Nimekuta ajari ya bodaboda dakka chache imeshatokea ambapo dreva alkua amebeba abilia wawili mwanaume na mwanamke mschana mlembo mlembo ivi

Pkpk ilipalamia mtalo na kuanguka dreva hakuumia sana ila ablia yule mwanaume kaumia goti lmebanduka na mshipa wa nyuma ya kisigino ukakatka kaumia mno

Chaajabu
dada mlembo amejipalaza kidogo tu sehem za kwenye paja na mkono, sasa mimi kilichonishangaza watu hasa wanaume namidevu yao wanakuja kuangalia tukio hawana habari nayule alieumia sana wanawahia kwa yule dada aliekua kajikwaruza seem ya paja

Yule dada alikua ameivuta nguo paja akaliacha wazi basi watu walikua wamejaa kwake sjui tunaelekea wapi, kila mtu pole dada pole dada dah kwakwel leo nmechoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi wewe umemsaidia huyo jamaa au umekimbilia tu kupost jf?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtutumie na picha. za ilo paja tulio mbali na tukio tupambane na hali zetu....za kutumia sabuni na mafuta...chaputa
 
Nimekuta ajari ya bodaboda dakka chache imeshatokea ambapo dreva alkua amebeba abilia wawili mwanaume na mwanamke mschana mlembo mlembo ivi

Pkpk ilipalamia mtalo na kuanguka dreva hakuumia sana ila ablia yule mwanaume kaumia goti lmebanduka na mshipa wa nyuma ya kisigino ukakatka kaumia mno

Chaajabu
dada mlembo amejipalaza kidogo tu sehem za kwenye paja na mkono, sasa mimi kilichonishangaza watu hasa wanaume namidevu yao wanakuja kuangalia tukio hawana habari nayule alieumia sana wanawahia kwa yule dada aliekua kajikwaruza seem ya paja

Yule dada alikua ameivuta nguo paja akaliacha wazi basi watu walikua wamejaa kwake sjui tunaelekea wapi, kila mtu pole dada pole dada dah kwakwel leo nmechoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulienda kumsaidia yule kaka aliyeumia,
au na wewe uliendelea kuwashangaa wanaolishangaa
paja? (Unaangalia watu,unaangalia pajaa)X3
Kweli dunuia imekwisha.
 
Hilo paja nilanamna gani ambalo kila mwanamme na wewe mtoa post ukiwemo lemewavutia mpaka mnasahau hata kumuokoa kidume mwenzenu.

mafisadi hayana rangi
 
Sasa kuona paja tu dunia imeisha,ungeona papuchi nahisi tungekua mbinguni now

ushauri wa bure
 
Back
Top Bottom