Nawapongeza sana NMB tawi la Kilosa kwa maandalizi ya maonyesho ya siku ya mwanamke duniani ambayo inategemea kufanyika tarehe 8/march. Endeleeni na huo moyo.
Wanajitahidi sana kwa kweli.. Huduma nzuri sana pale... Ni katawi kadogo ila kana huduma nzuri sana.. Niliwahi kuhudumiwa na tawi la mlandizi pia.. Ni dogo ila huduma safi kabisa.. Kazeni buti hivyo hivyo nmb
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.