Wana bodi za kutwa
wakuu nina kuku wangu wa kienyeji wana wiki sita . kuanzia juzi kuku watatu wamezubaa na wanaharisha njano. Nimeshawapa dawa ya Limox lakini haikuwasaidia na sasa nawapa Biox...
Barabara iliyojengwa kuzunguka nyumba baada ya mzee wa kichina na mkewe kukataa kuhama kwa sababu ya kuahidiwa fidia ndogo.
Jengo pekee lililosimama katikati ya barabara mpya baada ya mzee mmoja...
Bomu la lililotengenezwa kienyeji lenye uzito wa robo kilo, limekutwa kwenye shamba la moja la mikorosho katika kijiji cha Madimba kata ya Madimba mkoani Mtwara,na kuleta hofu kubwa kwa wakazi wa...
DC HAPI AMALIZA MGOGORO SUGU WA ARDHI NAKASANGWE
*Unahusu wananchi zaidi ya 3200
*Umedumu miaka 13, kupoteza maisha
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally Hapi leo amefanya mkutano wa hadhara na...
kama kichwa cha habar kinavoeleza, hii imetokea kisiwan bwiro wilayan ukerewe ni baada wanawake wawili kupigania mwanaume inavosemekana kuwa wote walikuwa wachepukaji kwa mwanaume mmoja.
Matokeo...
Chuo Cha VETA nchi nzima, wafanyakazi hawajalipwa mishahara mpaka leo, pamoja na kuhusu zote zilizofanywa na Baraza la chama chama Cha wafanyakazi kwenye maeneo husika, japo kumekuwa na tetesi...
Mahakama ya Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, imemuhukumu Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Butiama. Lawrence Mbaso (62), kifungo cha miaka saba jela.
Mbaso ambaye ni...
KUWAAMINISHA WATANZANIA KUWA PESA ZIKIJAA MFUKONI NDIO MAENDELEO YA UCHUMI NI UPOTOSHAJI MKUBWA USIFUMBIWE MACHO.
NA
JUMA GEORGE CHIKAWE
Hivi karibuni kumeibuka mjadala kuhusu hali ya uchumi...
KUKANUSHA UVUMI UNAONEZWA KUWA JUMA GEORGE CHIKAWE NDIO MHUSIKA WA HABARI ZILIZOKUWA ZINATOLEWA NA GAZETI LA TANZANITE.
Na George Juma Chikawe
Nimepokea kwa mshituko mkubwa wa habari...
Wakuu,
Inakuwaje hizi parking mpokeaji ni Kenya Airports? Kama wameshinda tenda kwanini zitumike anuani za Kenya au mpokeaji wa Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeweka wazi kuwa kwa sasa inakula sahani moja na kuwapa kibano kikali mastaa wote wanaokwepa kodi kupitia kazi zao kiasi cha kulikosesha taifa mapato yake...
Wengi wetu tunapenda kupata kupata au kumiliki nyumba maeneoa rasmi na yaliyopimwa! mdau mzuri hapa ni NHC lakini kuna mambo kadhaa yanasababisha wengi kutonunua nyumba zao sababu hizo ni kama...
Lazima Ujiulize ya kwamba ni alama gani utaicha chini ya jua kabla hajafa? Kimsingi tunaambiwa na vitabu vya dini ya kwamba kila binadamu ni mavumbi na atarudi kuwa mavumbi, kauli hiyo inaashiria...
Tonga ni nchi ya visiwani ya Polynesia (ni eneo la visiwa 1,000 hivi katika Pasifiki ya kati na kusini) katika Pasifiki ya kusini yenye wakazi 102,321. Eneo lake ni funguvisiwa yenye visiwa 169...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dr. Hamisi Kigwangalla amesema mkojo waweza kuwa na uhusiano na vitendo vya uchochezi.
Akifafanua suala hilo baada ya mdau...
Matukio ya kikatili yamezidi mnoo mauwaji,ubakaji na ulawiti hasa kwa watoto wadogo wasio na hatia. Tutoe maoni yetu hali inatisha kama sio ww uliekumbwa na hyo kadhia basi jirani yako anaweza...
Ijumaa Karim wana JF. Naomba wenye karama na Hekima ya ufafanuzi wa mambo na masuala mnisaidie tofauti au ufafanuzi wa maneno hapo juu. Tafadhali kama huelewi chochote pita kmyakmya ukisoma...