Hii hali inaashiria nini jamani?

Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
26,860
49,980
Matukio ya kikatili yamezidi mnoo mauwaji,ubakaji na ulawiti hasa kwa watoto wadogo wasio na hatia. Tutoe maoni yetu hali inatisha kama sio ww uliekumbwa na hyo kadhia basi jirani yako anaweza akawa amepatwa na hilo janga.
 
Na uhangaikaji na tamaa za kilimwengu zimetuzidi wanadamu,kufanya lililobaya wala hatuna hofu ya Mungu. Kila mwenye ndimi na akili timamu anajitahidi ili apate ya ulimwenguni ni jambo la hatari sana kwakweli.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom