N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,318
- 12,824
Narejea kwako Sam Mahela na mbwembwe zako eti Agasti Nane hatuna neno Agasti tuna Agosti nimeshawasikia waandishi wengi wa runinga na redio mnakosea kuutamka huu mwezi...Sam nimemrejea tu kama mfano jirekebisheni pamoja na mnaochanganya L na R, msiharibu lugha nyie wanahabari
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app