nkulikwa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2015
- 721
- 813
Hata angegombea Dr Slaa Uraisi wala asingeshinda hata wabunge wasingekuwa wengi. Siasa za Tanzania ni ngumu kuliko maisha na majadiliano kwenye jamii forum. Ukitaka kuijua Tanzania nenda kwenye vijiji utashangaa ilivyo. Hoja za akili si kitu kama uongo na ushabiki!!