Rais hapa umeteleza kuhusu urefu wa bomba

Status
Not open for further replies.

kamanda mbigi

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
1,241
1,546
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"

Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
227f2dbbace4c92e81d9229d9e654754.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app

==========

Usahihi: Rais hajasema lijengwalo ndio bomba refu zaidi duniani
 
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"

Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
227f2dbbace4c92e81d9229d9e654754.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
JPM alisema bomba linalosafirisha crude oil, sio Gas

Itufae Shoe Shine
 
Ni kweli bomba hili ni refu kulikoo yote duniani...
Wazee waliobobea... Ufafanuz....

Px
 
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"

Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
227f2dbbace4c92e81d9229d9e654754.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili bomba uliloongelea wewe ni la gas; lililo refu zaidi la mafuta liko Marekani ya kaskazini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hotuba yake kwenye uzinduzi wa bomba la mafuta kasema kuwa "ameambiwa bomba refu duniani lipo india lina kilometa 600, na hivyo bomba la kutoka uganda kuja Tanga ndio litakua refu zaidi duniani"

Nadhani wasaidizi wake hawakuingia hata google fasta kupekenyua. Bomba refu duniani lina km4107 linatoka Urusi, poland mpaka Ujerumani.
227f2dbbace4c92e81d9229d9e654754.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna skills za kusikiliza kwa makini mkuu. Rais alikuwa anaongelea bomba linalosafirisha HEATED CRUDE OIL kuwa hilo la India ndiyo lenye urefu mkubwa kwa sasa. Mtapindisha sana ukweli lakini watu wameshawajua nia yenu siyo nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom