samwel boaz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 269
- 143
Habari wana jf, nataka kujua ni kweli kwamba kuna waganga wa jadi wanaotoa utajiri au ni maneno tu?. Maana kumekuwa na utitiri wa mabango barabarani kuhusu matangazo ya waganga hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app