MAUA SAMA....

MAUA SAMA....

Travoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
397
Reaction score
483
Huyu dada nampenda sana....
Sina maneno yakuelezea zaidi...

Maua wherever you are nakuelewa sana..
 
Huyu dada nampenda sana....
Sina maneno yakuelezea zaidi...

Maua wherever you are nakuelewa sana..
Mtafute muwasileane binafsi. hapa hata sifa zake hujaziweka sisi tufanye nini? au unatafuta kiki tu
 
Mtafute muwasileane binafsi. hapa hata sifa zake hujaziweka sisi tufanye nini? au unatafuta kiki tu
Mkuu hizi ni hisia tu kwa mrembo Maua....kale kasauti na English figure da....ili mradi hatari tu..
 
c52d5ffba6f5d4710ca3d8734b7876f8.jpeg
 
Mungu akupi vyote.....

Kajaaliwa Sauti, "Let them know" ndo ngoma ambayo ilinifanya niwe shabiki wake namber 3.......
 
Mungu akupi vyote.....

Kajaaliwa Sauti, "Let them know" ndo ngoma ambayo ilinifanya niwe shabiki wake namber 3.......
Mi sura kwangu huwa haimati sana yaani kaumbo kaka na sauti daaa....
 
We waza ngono tuu......badala utafte namna ya kupmbana na hali yako unawaza ngono.,..keep on gentlemen

Ni miMi CHalIIiiii Ya "R"
 
Dah....kuwa na nywele feki tayari nimemkata point 50[emoji13]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
MAUA SAMA hivi profesa SAMA ndo alikufundisha hii ni njia ya kujipromot? walimu wako pale Rau Sec walikufundisha kuvaa vichupi??
 
Back
Top Bottom