Kile kinachoitwa PUBLIC LEADERSHIP CODE OF ETHICS act 1995

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
850
586
Leo Katika kupitia vigezo na masharti vya kuapply Mikopo ya elimu ya juu nikakutana na kipengere kinachosema, nanukuu; "Applicants whose their parents are leaders listed in public leadership code of ethics act 1995 are expected not to apply"
Tafsiri ya hiki kifungu kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa watoto wa viongozi tajwa awategemewi kuomba ilo sina shaka

Nnachomani kujua hao viongozi walioko kwenye hiyo kanuni ni wapi au nini maana ya public leadership code of ethics act 1995....

Naomba kuwasilisha naamin hapa nitaeleweshwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom