NTEGEYE Jr
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 322
- 286
Kwanini kuomba ya kudahiliwa CHUONI iwe Tsh.10,000/= halafu kuomba MKOPO katika Bodi ya Mikopo iwe Tsh. 30,000/=?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Badili heading yako isomeke TAFADHALI badala ya TAFADHARIKwanini kuomba ya kudahiliwa CHUONI iwe Tsh.10,000/= halafu kuomba MKOPO katika Bodi ya Mikopo iwe Tsh. 30,000/=?
Sent using Jamii Forums mobile app