Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Asilimia kubwa ya kina mama hususani wa vijijini wanakabiliwa na elimu duni ya unyonyeshaji hali inayoelezwa kuchangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la watoto wenye udumavu wa akili. Ni katika...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimetengeneza kidogo Historia ya Mwalimu Nyerere!!Sikiliza Kisha Nipe Maoni
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana JF. Naomba msaada wa haraka, Nahitaji kuleta gari lenye vioo tinted kutoka usawa wa milango na body yote ya gari ni vioo na ni titend. Sasa, naomba kuelewa mrejesho wa hapo Dar...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimeletewa barua na mjumbe serikali ya mtaa kama inavyosomekanimejaribu kuuliza kama nitapewa risiti inayotambulika na serikali jibu ni kwamba hata risiti ya kawaida haipo,je ni sahihi au...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Mimi nimeishi katika jumuiya ya watu mbalimbali na wa dini zote. Cha kushangaza inapofika sikukuu au wamenunua jogoo basi watu hutafutwa kwa ajili ya kuchinja, japokuwa wanaume wapo. Nimekula...
2 Reactions
306 Replies
31K Views
Dar es Salaam. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amegawa hati za viwanja 4,333 ambavyo vimekamilika kupimwa katika Kata ya Kilungule A, Manispaa ya Ubungo huku hati...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Leo nimeingia Nakumatt super market Moshi nilichoona ni dalili za kufungwa maana hakuna bidhaa za kuuza zaidi ya maji! Kweli tunaelekea shimoni! Msiniulize picha hazipigiki Ni aibu tupu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Kama kichwa cha mada kinavyosomeka napenda kuwafikishia ujumbe wamiliki wa kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Mkekabet watutengenezee app sie wadau wa weka nyingi ule nyingi. Mnapoteza followers...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika awamu ya tano, kuna viongozi wengi wa juu wa serikali katika wizara, idara, taasisi na wakala wana elimu ya kiwango cha juu cha uzamivu (PhD). Bila kusahau kuwa mkuu wa nchi naye ana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jinsi moja hawawezi kukaribiana wala kugusana kabisa kutokana na nguvu ya uvutano iliyopo kati yao "like poles repel,unlike poles attract" ------Umbali wa 'mtu-roho' mmoja na mwingine ni kama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama mliwakodisha, bila shaka kuna mikataba ya kukodisha. Terms zake kama ni kuwa wakishindwa kuzalisha bidhaa zilizokuwa zinazalishwa hapo wanyanganywe, then Rais yuko sawa. Kama mliwakodisha kwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Uimara wa akili hauonekani kwenye mambo unayoyafanya. Mara nyingi unaonekana kwenye mambo ambayo hutaki kuyafanya. Kuimarisha akili yako inakuhitaji uwe na uwezo wa kutawala au kudhibiti fikra...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Mbunge wa Kibiti, Mhe Ally Seif Ungando yupo mbioni kuanza ujenzi wa nyumba za kudumu kwa wajane wote waishio wilayani Kibiti ambao waume zao wameuwa kwa kupigwa risasi na watu waliokuwa wakifanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
“Wapo watu wamejaa wivu mioyoni mwao, wengine atasimama mbona hela hazipo, wale walizoea hela za rushwa, walizoea hela za utapeli, kwa sasa wanafikiri fedha hizo zitapatikana kama zamani, kwa sasa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Polisi waua majambazi 3,wakamata bunduki AK47 Magesa Magesa na Hemed Kivuyo Arusha JESHI la Polisi mkoani hapa limeua majambazi watatu, kujeruhi mmoja na kukamata bunduki aina ya...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
MAREKANI: Askofu Josephat Gwajima amepewa tuzo ya Mtu Mashuhuri Duniani na jiji la Birmingham lililopo huko katika Jimbo la Alabama.
9 Reactions
56 Replies
13K Views
Salute. Nataka kujua bei ya demockrasia ili tununue. Musiishie tu kujibu hili mseme pia inauzwa wapi ili tununue. Lakini msiishie hapo mseme anaeuza ninani ili tununue. Muende mbali zaidi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nilikuwa naongea na rafiki yangu mmoja kupitia skype jana, yeye anaishi Boston, USA. Sasa katikati ya maongezi yetu, kuna jamaa kadhaa ghafla wakaingia ndani kwake, akaniambia samahani, ngoja...
10 Reactions
214 Replies
26K Views
Habari wakuu!! Kama tunavyojua leo ni kilele cha maonesho ya sikukuu ya wakulima (nane nane) hapa nchini. Ukizungumzia viwanja vya maonesho ya nane nane vinavyo jaza watu wengi kutoka maeneo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom