Marekani: Askofu Gwajima apewa tuzo ya Mtu mashuhuri

Marekani: Askofu Gwajima apewa tuzo ya Mtu mashuhuri

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,631
Reaction score
62,487
MAREKANI: Askofu Josephat Gwajima amepewa tuzo ya Mtu Mashuhuri Duniani na jiji la Birmingham lililopo huko katika Jimbo la Alabama.
DGmwKj6XgAARBMo.jpg
DGmwKj6XoAAoTdG.jpg
 
Hivi jamani Gwajima ni nani?

Hamna mtu wa kuandika historia yake japo kwa ufupi hapa ndani? Inavyoonekana Gwajima ni maarufu zaidi nje ya Nchi kuliko nyumbani. Binafsi kuanza kumfahamu ni lile sakata la yule Mkenya aluyetuhumiwa kwenye sakata la Ulimboka kama sikosei... kuibukia kanisani kwake kwenda kutubu.

Hivi Ukiondoa Uchungaji shughuli zake nyingine ni zipi? Kunauvumi umesambaa kwamba ati hulipwa dola 1000 kwa saa kwa huduma zake za Maombezi kote duniani!, ukweli ni upi?

Naanza kumuogopa huyu jamaa

BACK TANGANYIKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kuweka picha ya Ngwajima juu ndo inathibitisha kuwa gold ya hapo chini kapewa mwenye picha juu?

Tuzo zote huwa zinaandikwa majina ya wanaokuwa awarded ila hii ni ya kubumba


''Aut Vincere Aut Mori''
 
mabepari wanamtumia kuvuruga nchi yetu!
akirudi lazima apimwe mkojo............
Amefanya jambo gani kuivuruga nchi yetu?
The last time nilipomsikia alikuwa anaisifia serikali ya awamu hii (hadi nikamshangaa)
Yaani kusema RC wa Dar ni Bashite ndio kuvuruga nchi?
 
Hii inadhihirisha watanzania mlivyo wazembe wa kusoma. Ndio maana hata Mikataba tuna saini tu hovyo. Hujasoma mpaka mwisho halafu unasema Jina halipo.
Yaani kuweka picha ya Ngwajima juu ndo inathibitisha kuwa gold ya hapo chini kapewa mwenye picha juu?

Tuzo zote huwa zinaandikwa majina ya wanaokuwa awarded ila hii ni ya kubumba


''Aut Vincere Aut Mori''


Sent from no where
 
Back
Top Bottom