Waziri wa Maliasili na utalii Profesa Jumanne Maghembe, amewasimamisha kazi askari wanyamapori tisa wilayani Nkasi mkoani Rukwa, kwa tuhuma za rushwa wakipokea fedha kutoka kwa wafugaji,na...
Bar ya Triple 7 iliyoko Mikocheni kwa kweli wahudumu wamezidi kuibia wateja. Naamini wengi tunakula pale lakini Bei ya chakula mara nyingi wahudumu wanatuibia Sana.
Mimi ni mmoja wapo, kila...
Kwanza kabisa nianze kwa kumpongeza IGP kwa kuonyesha nia ya dhati ya karudisha weledi ndani ya jeshi letu la polisi , nimemsikia mara kadhaa akikemea ubambikwaji kesi kwa raia na mengine mengi ya...
Kama tunavyojua jana Makonda alitengua agizo la polisi kuhusu Magari ya tinted.
Gari ya mkurugenzi wangu ina -Tinted na alikuwa anajiandaa kutii agizo la police la kuondoa tinted.
Mkurugenzi...
Na: Pasco Nkololo
August 16 1831 katika vitongoji vya Mji mdogo wa Barnes uingereza kipindi hiko ndipo alizaliwa huyu mwanaume baba wa soka la kisasa na mmoja kati ya waasisi wa chama cha soka...
Serikali kupitia Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) imekana kuwa na taarifa ya ndege iliyonunuliwa na Askofu wa Kanisa Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima nchini Marekani.
Juzi, Askofu Gwajima...
Wakuu maisha yanabana! Bila internet maisha hayaendi kabisa. N lazima kupata nyepesi nyepesi za kiuchumi, kisiasa na kijamii ndani na nje ya nchi.
Kati ya TIGO, VODACOM, AIRTEL, HALOTEL, TTCL...
Kiukweli ishu ya Acacia hainiumi kama ilivyo ya hawa makaburu wa AFGEM. Wametuachia mashimo tu huku madini yote wamechukua!
Nina imani na wewe amiri jeshi mkuu naomba wamulike na hawa makaburu...
Nimeangalia nembo ya mradi huu na kuiona mikono miwili ikishikana kama alama ya upatanishi, hili ni jambo jema kwani wahenga walisema ' yaliyopita si ndwele tugange yajayo' ahsante!
Unampigia mtu simu unaanza kusikia
Uislam unasema mtu akishakula mlo wa jioni atembee kidogo kabla ya kwenda kulala... Halafu unasikia mtume saw anahimiza kulalia upande wa kulia na si wa kushoto...
Mpoto amekua akipata nafasi ya kutangaza matangazo mengi ya TV... Kinachonishangaza ni Ile sauti yake ya ukali akiwa anatangaza.. Yaani kama uliset sauti ya kawaida kwenye TV, basi linapokuja...
Wanajamii, mimi naishi mjini katika jengo lenye gorofa naneSasa hapa kwenye jengo kuna kisima katika hali ambayo sijaielewa Dawasco wametoa agizo kuwa watakusanya pesa kama kibali na usajili pesa...
Wadau kwa sasa nipo mkoa wa Mara moja kati ya maeneo niliotembelea ni Tarime, Musoma, Roryaa, Serengeti.
Nilichokigundua baada ya kukaa huku hawa watu ni watu wasiopenda dharau, ni watu...
Mkuu wetu tayari wananchi wamemuona ni Rais anayefaa kwa Taifa hili,wengine wametaka awe ofisini kuongoza hata baada ya muda wake madarakani,cha kujiuliza mbona hatuoni waziri au mkuu wa mkoa...
Polo kwa wahanga wa bomoa bomoa! Kweli ni majonzi kupoteza makazi yako, na hasa ukiwa na umri mkubwa, ni shida kweli kweli.
Ukiangalia mtazamo wa jamii iliyokumbwa na kadhia hii ya bomoa bomoa...
Aisee kuna watu wanajua kupika kitimoto aisee,khaa! Jamaa anayepika kitimoto hapa kwenye Maonyesho ya Wakulima Nane nane hapa Njiro Arusha, is a crazy guy! Kilo 2 rost na kaugali nimekata kama...
Katika nchi yenye wajinga wengi; watu wenye akili wana machaguo mawili, chaguo la kwanza ni kutumia muda wao mwingi kuelimisha wajinga, kuwakumbusha, kuwakosoa, kuwapa taarifa na ikibidi, kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.