Wakuu Leo nimeingia Nakumatt super market Moshi nilichoona ni dalili za kufungwa maana hakuna bidhaa za kuuza zaidi ya maji! Kweli tunaelekea shimoni! Msiniulize picha hazipigiki Ni aibu tupu! Usiku mwema
Nunua maji tuu, vingine tafuta sehemu nyingine, acha umbea!Wakuu Leo nimeingia Nakumatt super market Moshi nilichoona ni dalili za kufungwa maana hakuna bidhaa za kuuza zaidi ya maji! Kweli tunaelekea shimoni! Msiniulize picha hazipigiki Ni aibu tupu! Usiku mwema