Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WAMILIKI na madreva wa bajaji wanaofanya shughuli za usafiri katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi,wamefanya mgomo na kusitisha kutoa huduma za usafiri katika maeneo ya...
0 Reactions
1 Replies
866 Views
Nisaidieni jaman juzi nimepoteza kadi ya Bima ya afya nimefuata hatua Zote ikiwemo ripoti kutoka polisi naenda pale na ambiwa siwez Pata nyingine kwa sababu aliekusajilia ni Dada yako labda...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Salute!.. Nitaomba radhi kama kuna watu nitawakwaza, lakini naomba niseme kile ninachokipokea. Lakini niseme lengo la kumchagua kiongozi yeyote yule ni ili akutafutie suluhu ya baadi ya...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, eneo langu lipo mita 22.5 toka ulipo mkondo mkubwa wa umeme, limepimwa na halmashauri hivyo nalipia kodi kila mwaka. Nina mpango wa kuendeleza kiwanja changu lakini...
1 Reactions
13 Replies
9K Views
nina tatizo kubwa wadau. naomba jina na contacts za mkurugenzi wa nssf. nimeenda makao makuu nssf ili waniruhusu nionane na mkurugenzi wamenikatalia Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, Leo nimekamilisha tafiti baadhi ya barabara hasa hii ya Mwenge - Bunju, nimegundua kwamba traffic wanaosimamia barabara hizi kuanzia saa 3:30 na kuendelea, Trafic wengi wenye vitochi au...
0 Reactions
4 Replies
960 Views
Habari zenu wapendwa Mabibi na Mabwana mliopo katika ukurasa huu,Hii kampuni yetu pendwa ya Ttcl waya zao zimedondoka kwaiyo zinaleta karaha kwa sie wenye magari wakati tunatoka. Kama kuna...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Huyu mwanariadha Alphonce Simbu kaipatia sifa kubwa Tanzania. Baada ya miaka mingi ya Tanzania kuwa msindikizaji wa mataifa ya Kenya na Ethiopia. Baada ya zile medali za fedha za shaba walizopata...
11 Reactions
73 Replies
7K Views
Uimara wa akili hauonekani kwenye mambo unayoyafanya. Mara nyingi unaonekana kwenye mambo ambayo hutaki kuyafanya. Kuimarisha akili yako inakuhitaji uwe na uwezo wa kutawala au kudhibiti fikra...
11 Reactions
16 Replies
5K Views
Wasalaam wandugu Nini maana ya quinquennial elections? Mi naona kuna ukiukwaji wa maana halisi ya "uchaguzi baada ya miaka mitano"! Ni kwamba nchi zinafanya uchaguzi while the incumbent...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dk. Izack Daniel enzi za uhai wake. DUNIA haina huruma! Ndiyo kauli unayoweza kuitoa baada ya hivi karibuni mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Dk. Izack Daniel, mkazi wa Ngarenaro, Babati...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Leo tarehe 8/8/2017 majira ya saa 1200hrs nilipitia grocery flani maeneo ya huku kwetu, Nikaagiza kinywaji baridi (soft drink) na nilipopewa kinywaji hicho nilibaini kuwemo kwa uchafu ndani ya...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Kuna samaki kutoka Mwanza pale Ukonga Mombasa, wanaletwa kwenye viroba na ukiwagusa sio baridi wa kuganda lakini wanakaa hata siku tatu bila kuoza, je samaki hawa wanawekwa nini kuzuia kuoza au...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Inasikitisha sana mtu unaenda hospitali kutibiwa au kucheki mgonjwa wako unatoka unakuta lundo la risiti kwenye vioo eti ni ada ya kupaki gari. Hivi watzania tumefikia kukosa ubinadam kiasi...
1 Reactions
3 Replies
988 Views
Design Yangu Ni Hii Hapa, Nina Familia Ya Watoto 3, Ke 2 Na Me 1, Pia Nina Housegirl Na Kijana Wa Kazi Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
129 Replies
38K Views
Moto wateketeza kiwanda kidogo cha kutengeneza makochi pamoja na gari moja katika eneo la mji mpya, barabara kuu ya kuelekea Msamvu Morogoro.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
nawauliza chadema ambao wamechagua away ground kuhost match zao, hivi inawezekanaje toka muanze kupata matokeo yako constant 54% kwa 44% mpaka mwisho? hiyo formula yenu kiboko. ili kuelewa muje...
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Hii ndio Biograph ya Deogratius Kisandu. Kuzaliwa: 28 Juni 1980. Siku ya Jumamosi. 1990-1994: Shule ya msingi Sunge, kata ya Busoka, Kahama, Shinyanga. Darasa la i-v. 1995-1996: Shule la msingi...
5 Reactions
175 Replies
22K Views
Kaimu Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam amepiga marufuku uwepo wa magari yenye vioo vya tinted ktk jiji la Dar. Amesema imebaidinika magari hayo hutumika kwa mambo ya ujambazi na...
12 Reactions
803 Replies
77K Views
Back
Top Bottom