siad bare
Senior Member
- Jul 13, 2017
- 123
- 92
Nimeletewa barua na mjumbe serikali ya mtaa kama inavyosomeka
nimejaribu kuuliza kama nitapewa risiti inayotambulika na serikali jibu ni kwamba hata risiti ya kawaida haipo,je ni sahihi au atumbuliwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app