Geechie
JF-Expert Member
- Oct 26, 2015
- 977
- 763
Kama kichwa cha mada kinavyosomeka napenda kuwafikishia ujumbe wamiliki wa kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Mkekabet watutengenezee app sie wadau wa weka nyingi ule nyingi. Mnapoteza followers wengi kwakuwa wengi hatupendi kuingia kwa kutumia browser mana page layout yake sio poa kwa browser.Ligi inaanza jitahidini mlifanyie kazi hili.