Movie za bongo zimejaa scene za Ngono.

Movie za bongo zimejaa scene za Ngono.

Truths

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
1,494
Reaction score
1,505
Binafsi sio mpenzi wa maigizo wala movie za bongo.

Lakini ukiwa na TV ukafungulia kwa bahati mbaya Chanel za kiswahili kwasababu mbalimbali...

utakuta movie nyingi wana act katika namna inayo embarrass kutazama
na familia.

Nimewahi kutazama wakenya, kusema ukweli wakenya wanatuzidi kwa maadili katika movies zao.

Wabongo mnalazimisha sana.

Wengi hamuambiwi ukweli. Mi ngoja niwaambie..
Utakuta wengine ni wanawake wabaya hadi ngozi lakini wamejiachia wazi mapaja wako kitandani.... Inaboa sana.

Kwani lazima mu- act kitandani na mpigane mabusu ya midomoni.

Wanawake wenyewe ni wabaya sana wengine mnajichubua. Hamna lolote.
Mmenenepeana mapaja na vimini vyenu Hamna hata soni usoni. Mnajifanya wanaijeria.
Shame on y'all.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42]
 
hahahahahahaaa... mkuu ungebadilisha heading iwe "Sipendi wanawake wabaya au wanaojichubua kucheza movie za bongo" kwa sababu ndicho ulichokazia sana
 
Nairobi Half Life muvi ya kikenya.
Kuna sehemu jamaa anaenda kwa mhindi kumwambia amepoteza stirio yake mhindi akasema "veve talipa nini kun.du yako km.amako"

Kipande kingine jamaa amegoma kuuza bidhaa kwa bei chee akaambiwa "Enda kule kajitie"

Mimi hayo sioni matusi naona ni uhalisia, mtu akiwa kitandani hatutarajii awe kwenye suti (labda kalewa na kuvua nguo hawezi) au dera na ahofie kujiachia.

Tunatarajia mpenzi wako utamkiss mdomoni, kaicheki muvi inaitwa Kiumeni katika hili swala.

Ukizungumzia maadili ndiyo maana kuna bodi ya filamu ambayo hugawa daraja kwa muvi husika na kumpa angalizo mzazi atakayeangalia na mwanae, na channel hutakiwa kukata vipande vichafu.

Siku hizi hata katuni wanakisi mdomoni, cheki Penguins of Madagascar ya 2014, cheki Despicable Me 2, cheki Rio.

Sasa kwanini sisi tufiche uhalisia?
 
Back
Top Bottom