Diaspora tusema huku yameharibika

Diaspora tusema huku yameharibika

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,014
Reaction score
104,482
Ndugu zetu mlio ughaibuni, tusemee maana huku mambo yameharibika. Kila mmoja amefungwa. Hatuwezi kufungua midomo tena. TUMEFUNGWA. MTUSEMEE TO WAKE UP THE WORLD AND INTERNATIONAL DEMOCRATIC COMMUNITY OF WHAT IS GOING ON IN TANZANIA.
 
Lawama yangu imfikie Mh. Magufuli.

Nchi itaendelea kwa kufichua uozo na sii kuufunika.

Atumie mitandao ya kijamii kufichua maovu, wanaomdanganya azime mitandao wanafanya hivyo ili kujifunika na kisha kufanya mabaya.
 
Mikwara hiyo sio ya kuogopa atapambana na mwisho atashindwa.....

Hatuwezi kunyamaza kwa sababu ya mtu mmoja ........

Ni bora tupokelewe airport lakini ukweli umfikie na sindano imuingie.......
 
wanaiharibu Nchi yetu nasikitika sana utadhani inaongozwa na wakuja wasio wazalendo na Nchi yao iweje kila kykicha wewe ni kutafuta ugomvi tuu na raia wako wema kabisa na kuacha mambo ya msingi...
 
Tumeshatangaza Mkuu tutashinda kwakua tumewahi kushinda huko nyuma.
 
Kila siku kuhangaisha wananchi.......hivi ndivyo serikali inadhani itamaliza umasikini uliotamalaki kote kote? Ushamba mzingo sana.
 
Ndugu zetu mlio ughaibuni, tusemee maana huku mambo yameharibika. Kila mmoja amefungwa. Hatuwezi kufungua midomo tena. TUMEFUNGWA. MTUSEMEE TO WAKE UP THE WORLD AND INTERNATIONAL DEMOCRATIC COMMUNITY OF WHAT IS GOING ON IN TANZANIA.

Wacha Ujinga na Uoga wako wewe Lofa. Hatujashindwa kujisemea wenyewe mpaka uombe mamluki kutusemea. Tunaweza kujisemea sisi wenyewe na haki hii ni ya kikatiba.
 
Hakuna kitu kama ,,international democratic community" Dunia hii, ila kilichopo ni interest tu, kama mnataka Mzungu aingilie mambo ya Tanzania mtafutieni maslahi kwanza!
 
It is our own choice = ni CHAGUO letu wenyewe! mlizoea kuishi kwa madili sasa tumebanwa ili haki itendeke! Long live Rais Magufuli.
 
Lawama yangu imfikie Mh. Magufuli.

Nchi itaendelea kwa kufichua uozo na sii kuufunika.

Atumie mitandao ya kijamii kufichua maovu, wanaomdanganya azime mitandao wanafanya hivyo ili kujifunika na kisha kufanya mabaya.
Kufichua uovu gani wakati cdm wanakandia tu huku awamu ya tano ndio inafichua maovu na kuweka udhibiti. cdm ni uchochezi tu kutukana na kukashifu jpm na serikali yake
 
Ok kachukue elfu saba yako.....umeshaitaja CDM kama ulivyoagizwa.
 
Ndugu zetu mlio ughaibuni, tusemee maana huku mambo yameharibika. Kila mmoja amefungwa. Hatuwezi kufungua midomo tena. TUMEFUNGWA. MTUSEMEE TO WAKE UP THE WORLD AND INTERNATIONAL DEMOCRATIC COMMUNITY OF WHAT IS GOING ON IN TANZANIA.
Napokea jukumu hili kwa mikono miwili.
 
Wacha Ujinga na Uoga wako wewe Lofa. Hatujashindwa kujisemea wenyewe mpaka uombe mamluki kutusemea. Tunaweza kujisemea sisi wenyewe na haki hii ni ya kikatiba.
Pakavu, matusi ya nini? Why abusive language. Angalia bandiko langu, kuna sehemu kuna matusi? Next time I will not spare you! I am telling you! Let me take note of you.
 
Hakuna kitu kama ,,international democratic community" Dunia hii, ila kilichopo ni interest tu, kama mnataka Mzungu aingilie mambo ya Tanzania mtafutieni maslahi kwanza!
Sina sababu ya kujibizana na wewe.
 
Back
Top Bottom