Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,266
- 2,870
Kumekuwa na machukizo makubwa sana kwa sasa katika mahusiano kwa miaka hii kwa pande zote. akina baba na akina mama... na siku zote najiuliza nini imekuwa changamoto kubwa ya kuchangia kukua kwa jambo hili la mapenzi kinyume na maumbile?
sheikh huyu anazungumza suala hili akitolea mfano huko zanzibar hasa pemba ambako alitembelea na kukutana na wamama 10 ambao wana toa sehemu zao za nyuma kwa waume zao. wenyewe wanaita ZERO. suala hili kwa sasa limekuwa kubwa sana na ni aibu hata katika dunia hii kwa kiuwa linazidi kupata umaarufu sana hasa kwa jina la tigo.
akina dada madhara yake mwayajua lakini? au mnaona ni sawa tu kutoa maeneo hayo yatumike isivyo? maana kwa sasa imekuwa ni kivutio kabisa kwa mahusiano unakuta mdada anasema yeye ili asiachwe au ili apewe pesa zaidi na zaidi anatoa hiyo sehemu itumike.
Msikilize Sheikh Hapa akizungumzia suala hili kwa Kina kwa Mujibu wa Uchunguzi wake.