Second diaspora meeting for Dar es Salaam

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,011
By DAILY NEWS Reporter, 11th June 2010 @ 12:00,

THE Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation and the International Organization for Migration (IOM) are jointly organizing the diaspora meeting to discuss how to engage the Tanzania Diaspora in development among many other issues.

A ministry statement issued in Dar es Salaam on Friday noted that the meeting whose theme is Shared Ownership of the Diaspora Engagement Process, will take place in Dar es Salaam on Monday.

The Minister for Foreign Affairs Mr Bernard Membe will chair the meeting that will attract players from the government, the private sector, Diaspora associations, diplomatic missions, international organizations and development partners.

The second stakeholders' Diaspora meeting follows the first meeting held in January this year.

''The Government of Tanzania is committed to promote dialogue between the Diaspora, the public and private sectors and the civil society to encourage collective engagement in socio-economic development in Tanzania,'' the statement further noted.

Tanzania acknowledges the role of Diaspora, as an integral part of social, human and financial capital significant for the country's development.

The official Diaspora remittances are estimated at 14 million USD (about 20.7bn/-), however it is believed the figure should be higher.

With all these efforts, the ministry admits effective ways of capturing the remittances and the exact number of Tanzanians living abroad and their profiles, form one of the key challenges in the Diaspora engagement.

The second Diaspora meeting with the theme Mtu Kwao was also held in London and brought together Tanzanians living in London and neighbouring countries. President Jakaya Kikwete conveyed a strong message of support to the participants.

In April this year, the Government and the Private sector team went for a study tour to Kenya and Rwanda to learn from the two countries' experience in engaging their Diaspora.

The two countries are reputed for tapping the Diaspora potential
 
Bubu, au mwingine yoyote samahani sana naomba nieleweshwe kuhusu diaspora. inaelekea hata waziri wetu wa fweza hana habari, Maana hii hata waziri wetu wa fedha hakuizungumzia jana katika bajeti.

Soma bajeti Aya 39 mpaka 43 halafu angalia hii:

The official Diaspora remittances are estimated at 14 million USD (about 20.7bn/-), however it is believed the figure should be higher.
 
hebu ndugu zetu mliofunguka macho jaribuni kutuelewesha hiyo diasspora ni nini kwenu manake inaonekana kama vile diasspora ni interventions. kwa hiyo mto hoja ulitanga bajeti yetu ipangie matumizi ya personal remittancies za watanzania walioko nje katika matumizi ama mapato ya bajeti ya taifa? kazi kweli kweli, mimi naona kama kawaida yetu ni maswala yetu ya kuiga pasipo kujua maana. tumesikia mbwembwe za London tukasikia za Texas na sasa Dakota hatujawahi kupewa feedback ya nini yamekua matokea ya hiyo mikutano zaidi ya kuona picha za mbwembwe kwenye libeneka la michuzi. hebu tusaidieni tuelewe msituache nyuma wenzenu. Maana isije ikawa kama zile events za kuwakutanisha watanzania walioko maeneo hayo kusocialize, maana hizo zilikuwepo tangu zama na zama zikifanywa na balozi zetu japo kwa sasa noana balozi zetu zinazotumia fedha zetu walipa kodi zimeamua kuwa ni forum za CCM, which is very wrong na tunampango wa kuangalia utaratibu wa kisheria kuzuia hiyo tabia, balozi anayetaka kufanya hayo kama tunamuombe aombe nafasi katika CCM tuone kama atapata luxuri ya kutumia hela zetu vibaya hivyo. Tanzania sio nchi ya chama kimoja
 
Bubu, au mwingine yoyote samahani sana naomba nieleweshwe kuhusu diaspora. inaelekea hata waziri wetu wa fweza hana habari, Maana hii hata waziri wetu wa fedha hakuizungumzia jana katika bajeti.

Soma bajeti Aya 39 mpaka 43 halafu angalia hii:

The official Diaspora remittances are estimated at 14 million USD (about 20.7bn/-), however it is believed the figure should be higher.


Mkuu hizi namba za remittances toka kwa diaspora naona wanazibahatisha tu, hakuna hata anayeijua kiasi kamili kinachotumwa nchini na Watanzania walio nje. Na si ajabu katika hizi namba wanazobahatisha wanaziweka pia pesa za mafisadi wa EPA, Richmond, Rada, Ununuzi wa Ndege ya Rais na mazagazaga mengine yote ya kifisadi ambazo nyingi zimewekwa nje ya nchi nazo zikiingizwa nchini basi zinachanganywa humo humo. Kuonyesha kwamba hizi namba si za kweli angalia hii article hapa chini kutoka The East African.
 
Diaspora monies boost Dar's external account






biz+update+3+pix.jpg

Trading at the Dar es Salaam Stock Exchange. Foreign exchange is crucial for Tanzania's net import economy Photo/FILE

By By Abduel Elinaza
THE EAST AFRICAN

Posted Monday, May 24 2010 at 00:00


Tanzanians may lack a savings culture at home, but it has now emerged that its citizens abroad annually send home $200 million.


Meanwhile, despite the recent global financial crisis, which took its toll on the country's export earnings, foreign exchange-denominated deposits held with commercial banks by Tanzania residents amount to $1.5 billion - equivalent to two months' worth of imports of goods and services.

Foreign exchange-denominated assets held by commercial banks add another half a month to this stock.

By the end of March, the country's gross official foreign exchange reserves stood at $3,498.2 million, sufficient to cover 5.4 months of imports of goods and services.

Foreign exchange is crucial for Tanzania's net import economy as it eases the dollar demand pressure at the inter-bank foreign market, where the shilling has lost over 5 per cent against the dollar since January, falling to Tsh1,367.

According to an Economic and Social Research Foundation report on the impact of the global financial crisis issued recently, "The most direct short-term impact on the economy would be declining funds from Tanzanians living abroad whose incomes, are affected after losing jobs and reduced income from wages and dividends from investments they had made in real estates and financial markets." The report was compiled jointly with the Overseas Development Institute.


The report, titled "The Global Financial Crisis and Tanzania: Effects and Policy Responses," says the Bank of Tanzania reported getting some indicators on reduced personnel remittances, but hard data on the subject will be available after completion of a special study by the bank's Policy and Research Directorate.


However, a recent study by the International Organisation for Migration indicated some signs of reduced remittances to Tanzania and Uganda, although data was for up to July 2009 only.

BoT Director of Economic Policy Dr Joseph Massawe told The EastAfrican that data is hard to get as most remittances are informal, but the bank is working with the National Bureau of Statistics, to include the subject in its next household budget survey scheduled for this year.


"I think the data is underestimated but the survey will shed more light on the subject. The data that we have shows that the diaspora is remitting about $200 million a year," says Dr Massawe.

New Interest

Banks such as CRDB and Commercial Bank of Africa have, however, reported a surge in interest by the diaspora in investing in "safe," high dividend projects in Tanzania, citing increasing default by friends and relatives at home to whom they send money for projects.


To cushion from the global financial crisis and encourage trade among businesses within the East Africa Community, the Bank of Tanzania has simplified cross-border remittances by eliminating the need to use clearing banks in the United States and Europe.

However, the central bank continues to restrict liquidity outflows.


CRDB Bank Plc managing director Dr Charles Kimei says the bank through its external account for Tanzanians living abroad - the "Tanzanite account" - has attracted 3,312 depositors who deposited some $15 million in the past six years.


"The Tanzanite account attracted mainly Tanzanians living in the United States, the United Kingdom, United Arab Emirates and East Asia," Dr Kimei told The EastAfrican.

The bank in collaboration with Unit Trust of Tanzania has embarked on a campaign to woo Tanzanians living overseas to invest into the Trust's Umoja units via CRDB bank's network abroad.

The diaspora remittances are important in the short run to offset the inflows gap from traditional exports, which start to pick up in July.


BoT Deputy Governor Dr Enos Bukuku (Economic and Financial Policies) said that, in order to reduce the deficit in the balance of payments "We have to increase our export levels and other foreign exchange earnings - diaspora remittances, tourism, etc."


The aftermath of the global financial crisis saw the country put in place a stimulus rescue package worth Tsh1.7 trillion ($1.307 billion) in the 2009/10 budget to bail out the economy, certain areas of which had already been hit hard by the crunch including agricultural exports and tourism.

The report indicates the need to establish new lines for foreign inflows including promotion of diaspora remittances or establishing diaspora financial instruments.
 
By ROSE ATHUMANI, DAILY NEWS 14th June 2010 @ 12:00,

THE government has unequivocally recognized Tanzanians of the Diaspora as among the country's economic development stakeholders and will support and facilitate their stay and return from abroad.

The Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Bernard Membe, whose speech was today read on his behalf by the Ministry's Permanent Secretary, Mr Sazi Salula, noted that the government will support and facilitate their stay and return from abroad.

''I would like to reiterate here that having resolved to engage Tanzanian living abroad, the government is committed to support and facilitate their stay in abroad as well as their return,'' Mr Membe stressed.

Last year, the official Diaspora remittances are estimated at 14 million USD (about 20.7bn/-), however the figure is believed to be higher. This figure was however indicated in this year's national budget.

''Those in Diaspora should be equipped to serve as agents of the image of Tanzania abroad,'' the minister's speech noted, adding that the government has noted the need to continue improving communication with Tanzanian Diaspora.

The ministry resolved to continue sensitizing people to dispel beliefs that migration is negative and to build capacity on how to effectively tap for the Tanzanian Diasporas.

The minister noted that the major challenge for Tanzanian Diaspora was development of database which would help know the number of Tanzanians living in the Diaspora.

''We need to know where they are located and what they are doing, how they can contribute to the country's development and of course what their needs are,'' he said.

In bid to have some sort of database, the ministry has been encouraging Tanzanians travelling abroad to register and keep updating their personal details at the country's diplomatic missions.

Forming an associations was also noted as another possibility that would help contribute to the database, the minister said.

''We also plan to engage other organization that work with migrants such as the World Bank, Intentional Organization for Migration (IOM) and United Nations Development Programme (UNDP), who have expresses support on this,'' he explained.

Mr Membe noted that the recently formed Tanzanian Association in the UK has started developing a shared online database.

The next Diaspora conference to be held in Minnesota USA early next month (1-4th July) seeks to bring together members of the Tanzanian Diaspora in USA, Tanzanian private sector and government officials and key decision makers and US investors with interest in investing in Tanzania.

Mr Alfred Nkunga, Diaspora Council of Tanzanian in America (DICOTA) country director said US has the best farmers and would be ideal in investing and spearheading Kilimo Kwanza Initiative.

He noted that among those invited include Tanzania Revenue Authority who would among other revenue issues learn from their US counterparts.

Today's meeting, whose theme is 'Shared Ownership of the Diaspora Engagement Process,' was organized by the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation and the International Organization for Migration (IOM).
 
Ni kweli, hii kitu "diaspora" ni kitu kisichofahamika kwa wengi. Inaonekana ni kitu kizuri chenye kufaa, yeyote mwenye kuielewa na kuweza kutufahamisha tafadhali.
 
Kwa wale wasioelewa hii issue ya Diaspora:

Ni hivi, Serikali kwa sasa imetambua umuhimu wa Watanzania wanaoshi ughaibuni ambao kwa namna moja au nyingine kutokana na shughuli wanazozifanya wanaweza kuwekeza hapa nchini na kusukuma gurudumu la maendeleo.na hii imetokana na misaada mbalimbali kutoka kwao ambayo imekuwa ikiingia nchini bila kuwekewa records rasmi ikielekezwa kwenye taasisi mbalimbali za Serikali na za Binafsi. Suala hili la Diaspora linaenda hand in hand na mchakato wa Dual citizenship pia. Sheria za tz haziruhusu mtu kuwa na uraia wa nchi mbili. its either uuvue uraia wa tz na kupata wa nchi hiyo nyingine au uendelee na uraia wa tz na ule mwingine ukose. Sasa hapo ndo swala la dual citizenship linapoingia ndani yake. ili kuwawezesha watz waje wawekeze nchini au wajishughulishe na miradi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukusanya michango yao ya kila mara na kuwekewa records ndo mchakato wa diaspora umeanzishwa ambao nao unalenga kufanikisha marekebisho ya sheria ya uraia iwe ya dual citizenship.
 
View attachment 566354


Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Salum Maulid Salum, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kongamano la nne la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje litakalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. Hafla hiyo imefanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Salum Maulid Salum, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kongamano la nne la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje litakalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. Hafla hiyo imefanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Mkurugenzi wa PPR Pascal Mayalla akiuliza suali katika mkutano na waandishi wa habari uliozungumzia Kongamano la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje uliofanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi Bi. Adila Hilali Vuai akijibu masuali yaliyoulizwa na wandishi wa habari kuhusu maandalizi ya kongamano la kitafa litalofanyika tarehe 23 na 24 Agosti hapa Zanzibar. (kushoto) Muandishi wa habari Rahma Suleiman wa Chuchu Fm Redio.
Picha na Makame Mshenga.
Wanabodi.

Declaration of interest. Japo mimi Paskali Mayalla sio mwana Diaspora, bali nimewahi kuishi nje kwa muda mfupi mfupi katika nchi mbalimbali, na nimewahi kufanya kazi tena sio kubeba box, bali kubeba zege ndani ya jiji la London, hivyo nina mwanga kidogo kuhusu diaspora, ila kwenye hili
Kongamano la Nne la Diaspora, litakalo fanyika Zanzibar, tarehe 23 na 24 Agosti, I have a role to play.

Hivyo hili ni bandiko la kuomba ushirikiano wenu, kwa ushiriki wako kwenye kongamano hili, physically or by proxy, ili kutoa mawazo yako Tanzania ikusaidiaje ili kukuwezesha wewe kuisaidia nchi yako.

Tanzania itajengwa na Watanzania wote wakiwemo wana diaspora. Kitu cha kwanza ni kuomba ushiriki wako physically kwa wale wenye nafasi to make it home, wajisajili kupitia
DIASPORA: Home Page
or
4TH Tanzania Diaspora Conference 2017 - Diaspora and SMEs ...

Kwa wale ambao hawatapata nafasi ya kuwepo physically, wanaweza kushiriki by proxy, kwa vile dunia sasa ni kijiji kimoja, wanaweza kushiriki by proxy.

Kwanza The Official Opening ya Kongamano lenyewe litatangazwa live za TV za Tanzania. Pili tutatangaza live kupitia video streaming kwenye youtube hivyo wana diaspora wote wenye nafasi wanaweza kufuatilia kupitia youtube, facebook, tweeter na mitandao ya kijamii.

Hapa naomba ushirikiano wako tujadiliane how to reach you out ili tupate maoni na mawazo yako, Tanzania ikusaidiaje wewe mwana Diaspora ili uweze kuisaidia nchi yako?.

Uzalendo sio kujiuliza "Tanzania Ikusaidie nini, bali ni wewe kujiuliza jee nimeisaidia nini nchi yangu Tanzania?". Kwa vile wana diaspora wengi wako nchi za nje na wamepata bahati ya kupata exposure kubwa, tunaomba mawazo yenu, Tanzania iwasaidieje ili muweze kuisaidia nchi yako Tanzania.

Natanguliza Shukrani.

Pascal Mayalla
+255 784 270403
pascomayalla@gmail.com
 
Back
Top Bottom