Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watumishi wapo kimya wanaugulia maumivu kimya kimya na mbaya zaidi hawana hata chombo cha kuwasemea. Miaka miwili hakuna ongezeko la mshahara wala madaraja. 15% bodi ya mikopo makato...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Yah, tuliambiwa itaongezwa ndege mpya ya 3 aina ya bombardier je ilishanunuliwa? ...nipo mbali kidogo na media please 17 PHD these are results
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Ambao mmeshawahi kuumwa majipu/jipu sehemu fulani fulani za mwili wako kama makwapani, mapajani, shingoni, maeneo yasiyofikika na mengineo..mtakuwa mnajua maana ya 'utamu' likikupata aisee. Jipu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: Tanzania Women of Achievement (TWA) yazindua jukwaa la mwongozo, ushauri na kujifunza kidijitali kwa ajili ya wasichana na wanawake Agosti 9, 2017 jijini Dar es...
0 Reactions
1 Replies
677 Views
Katika hali ya kushangaza mimi nimejikuta nikifeli kupata police loss report toka mamlaka za kipolisi za dar es salaam nikiwa nimehangaikia hiyi kitu yapata wiki mbili sasa Nimefika central...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Manispaa ya Temeke, mkoani Dar es Salaam imekamata shehena ya sukari nyeupe (industrial white sugar) mbovu ambayo hutumika kutengeneza dawa za kupunguza makali ya ukimwi (ARV’s) ambayo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
MWANAMKE anayejulikana kwa jina la Nabii Juliana wa Kanisa la Miracle Assemblies of God, amepigwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kuingilia ndoa ya Mchungaji Richard Kiondo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Baadhi ya vyombo vya habari leo vimeripoti mauaji ya kimya kimya ya walinzi kama 26 kwa siku tofauti tofauti ndani ya Mkoa wa Geita bila kuacha damu maeneo la matukio bila kuwa maelezo ya kutosha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanga. Swabaha Shoshi, anayejulikana kwa jina maarufu kama mjane aliyemlilia Rais John Magufuli, amefikishwa mahakamani jijini hapa na kusomewa shitaka la kuingia bila kibali katika eneo la...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Muda huu hapa mnazi mmoja, mtu mmoja amepigwa risasi na askari, na wengine wawili wamekamatwa, yaonyesha hawa watu ni majambazi. niko juu kwenye jengo la ushirika nimeona picha nzima ilivyo.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Miradi ya barabara kibao imekamilika bongo Na Mwandishi Maalum, MIRADI 15 mikubwa ya ujenzi wa barabara nchini imekamilishwa katika miaka mitatu iliyopita na miradi mingine 33 iko kwenye hatua...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Tendwa akutana na waandishi wa habari Msajli wa Vyama vya Siasa, John Tendwa leo anatarajiwa kukutana na waandishi wa habari kuzungumzia Sheria ya Gharama za Uchaguzi katika uchaguzi huo mdogo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna jambo la kufurahisha kama sio la kushangaza Tajiri na multi millionaire na mtu mwenye brand kubwa na ushawishi Bill gates anatembea bila ya kuwa na mabaunsa au walinzi.Tajiri huyu ana utajiri...
15 Reactions
96 Replies
22K Views
Jana niliamua kutembelea hii bar maarufu maeneo ya Shekilango. Nikaagiza makange ya kuku na ugali. Baada ya kuonja ile paja la kuku nikasikia ladha ya kitu kilichooza. Na baada ya kunusa...
6 Reactions
48 Replies
7K Views
Kabla sijanunua gari miaka hiyo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam alipiga marufuku matumizi ya tinted katika magari. Kama ilivyo ada katika nchi yetu, amri za aina hii huwa ni maoni ya...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Salam wanajamvi. Moja kwa moja kwenye mada, kwa sababu kuna hili jambo ambalo linazidi sana kukithiri nchini Tanzania hasa kwa wahitimu wa shahada ya kwanza. Wahitimu ambao wamepata shahada kwa...
1 Reactions
59 Replies
7K Views
Nashukuru leo Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru kategua kitendawili kilichokosa jibu kwa miaka mingi. Kasema Mei 30, mwaka huu atatimiza umri wa miaka 82.
2 Reactions
39 Replies
27K Views
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu amezungumza bungeni hivi punde na kusema DC wa Korogwe (Mrisho Gambo) ni mbabe na mwenye dharau. Kwa sababu hiyo, kasema ameshamshitaki kwa Waziri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WAKUU Kindly, Ndugu Honorath Charos Moshi, Mchaga Mzaliwa wa Rombo Kikelelwa alipotea toka mwaka 1994. Alikuwa anaishi Sombetini Arusha na aliondoka ghafla, hakurudi mpaka leo. Watoto wake...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari Wakuu, heri ya Sikukuu ya Mapinduzi................... Awali ya yote napenda kusema mimi ni moja ya vijana wachache hapa mjini ambao bado tuko "very loyal" kwa radio hii maarufu ya Clouds...
31 Reactions
231 Replies
59K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…