Ushauri biashara maeneo ya migodini; Je, hii inafaa?

Ushauri biashara maeneo ya migodini; Je, hii inafaa?

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,199
Reaction score
6,474
Nipo kwnye hatua za mwanzo hutengeneza business idea kwa ajili ya biashara maeneo ya migodini Leo nimeamka na hili wazo naomba ushauri.

01.kuuza miwani za KAZI kuzuia vumbi
02.kuuza mining safety gloves.
03.kuuza reflector
04.kuuza zile mining helmet

Nakuwa natembelea maeneo mbalimbali ya migodi.

Nataka kuagiza hivyo vitu direct kutoka china kupitia Alibaba je hii ni option nzuri?


Au niende kariakoo nikatafute machimbo??
Naomba ushauri kwa wazoefu
 
Back
Top Bottom