Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mahakama kaskazini mwa India, imempa ruhusa mwanamke katika jimbo la Rajasthan ruhusa aachwe na mumewe, kwa sababu nyumba yao haina choo. Wakili wa mke, alidai kuwa kwa vile mume hakumjengea choo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo nimepita eneo la Bunju kilometres kadhaa kutoka barabara ya kuelekea Bagamoyo. Huko kuna maeneo kadhaa likiwemo lile alilonyang'anywa Sumaye. Cha kustaajabisha zaidi kuna eneo la NSSF ambalo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
MFANYABIASHARA maarufu wa Tanzania ambaye ni bilionea kijana zaidi barani Afrika, Mohammed `Mo’ Dewji anayemiliki kampuni ya MohammedEnterprises Tanzania Limited (MeTL) Group, amepania kuiteka...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Binafsi nimekutana na mambo mengi sana ambayo yaliniumiza moyo na bahati mbaya walionitendea ni watu wa Karbu Sana na mimi. Nifanyaje ili niweze kuwasamehe na kuwasahau? Msaada tafadhari... Sent...
2 Reactions
57 Replies
8K Views
Wakulima wa Chai wa mashamba ya Chai Katumba Tukuyu Mkoa ni Mbeya wanasema wako tayari kuing'oa Chai na kupanda maparachichi kama Serikali itaendelea kuwalizimisha ni wapi wanatakiwa kuuza Chai...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
aliimba na kwaya ya tabata mennonite. na album yao maarufu ya kunyata nyata. ni muimbaji ambaye nmependa sana uimbaji wake na sauti yake. nlitaka kufaham kuna kuna album nyingine ameimba. hii...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Baada ya Diwani wa Kimara Mh Manota kuuliza swali kuhusu kituo cha Kimara Baruti kuwa kinashusha tu na hakipandishi abiria na kuleta usumbufu kwa wakazi wa maeneo hayo. Mkuu wa Mkoa alitoa nafasi...
0 Reactions
4 Replies
995 Views
madereva wa daladala wamegoma kuondoa gari kituoni baada ya kupandishiwa tozo ya kutoa gari kutoka 500 mpaka 1000,
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Inaniuma sana kwa baadhi ya wanasiasa kuendelea kutaka kukwamisha maendeleo ya Taifa na usalama wa raia,nchi,n.k. Ila nasikitika tunapowataja hadharani kupitia jamii foram mnaziondoa hizo post,na...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wakuu. Nnayo kampuni inayojishughulisha na plumbing and water sanitation. Kampuni ina vyeti vyote vilivyotolewa na mamlaka husika ikiwa ni pamoja na CRB, BRELA na TRA. Nimeamua kuuza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
RC Makonda tunakuhitaji mkoa wa Mwanza, ndoto yetu kwa wakazi wa Mwanza kuona unakua mwongozo wa huu mkoa wetu. Hao watakuona sio kutokana na uwajibikaji wako, siku wakikua na kupata akili ndio...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama hujiwezi basi achana na kudate na mwanamke maskini. Ewe kijana msaka tonge kama unandoto za kuwa tajiri basi zingatia hili. Unaweza ukajikuta unatumia laki 4 kwa matumizi yake na ndugu zake...
1 Reactions
4 Replies
650 Views
Wakuu mbona Hawa makandarasi wa kuzoa taka vichefuchefu eti jengo jipya wanatoza sh. 20,000/- na jengo la zamani sh. 15,000.- kama kuna mtu wa manispaaa atufafanulie hili. Sent using Jamii...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habarini za wakati huu, nahitaji kujenga vi apartments sehemu fulani hivi, nimefikiria kuja tofauti kidogo ila sijui kama itasaidia kupunguza gharama au la. Kuta za nje nategemea kutumia...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
habari wadau.. najiuliza sana ili swali why matajiri wakubwa usa.. wengi chuo waliacha chuo first year, au second year tu... mfano mtu anaacha chuo kama university of california los angeles...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salute!... Nimekuwa nafuatilia sana Tangu awamu ya Tano ilivyoingia madarakani na NAFASI YA WABUNGE KWENYE MAJIMBO YAO. NILICHOGUNDUA NI KUWA MFUMO UNAOTUMIKA NI WAKUU WA WILAYA NA MKOA pekee...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kaliua TABORA NI kati ya halmashauri zilizo sahaurika sana kuna idadi kubwa sana ya mwanafunzi lakini vyumba vya madarasa hakuna kwa mfano Shule ya msingi majengo na ugansa zilizopo usinge...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kiukweli wateja wakubwa kabisa ya makanisa ni wakina mama yani Base ya Sadaka wanategemewa wao ,Mwana mama yuko radhi auze vitu vyake vya ndani apeleke kanisani. Yani hawasikii na ni kushinda...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Kama mzazi nimesikitika sana. Leo kulikuwa na mahafali ya watoto wa chekechea na wale wa darasa la saba. Wazazi tulichangishwa sh 72,000 kwa kila mtoto kwa ajili ya mahafali. Cha ajabu leo ambayo...
3 Reactions
72 Replies
17K Views
Wewe uwe CCM, wewe uwe CHADEMA, wewe uwe CUF n.k linapokuja suala la maslai kwa taifa tusimame kwa umoja. Hoja ya msingi ikitolewa yenye tija kwa taifa tusianze kuangalia umetolewa na nani? Hata...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom