Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,762
- 4,576
Wakuu habarini za wakati huu, nahitaji kujenga vi apartments sehemu fulani hivi, nimefikiria kuja tofauti kidogo ila sijui kama itasaidia kupunguza gharama au la.
Kuta za nje nategemea kutumia tofali za kawaida au za hydroform halafu vyumba vya ndani nivitengeneze kwa kutumia material ya soft body (kama zile wanazotumia kwenye majengo ya biashara mf bank).
Hii itapunguza gharama au ndani napo nitumie tofali tu?
Karibuni mafundi kwa ushauri.