Akilimali22
Senior Member
- Jun 7, 2015
- 168
- 90
Wakuu mbona Hawa makandarasi wa kuzoa taka vichefuchefu eti jengo jipya wanatoza sh. 20,000/- na jengo la zamani sh. 15,000.- kama kuna mtu wa manispaaa atufafanulie hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app