hello JF,
Sijui kama hio system ipo au bado,
Leo ningependa kuwe na utaratibu wa kuwapa mikataba ya miaka miwili tu walimu,
sababu,hatuwezi kuwaweka walimu wale wale sehemu moja,alafu...
Wizara ya nishati na madini amewataka wataalamu wanaopelekwa kusoma nje ya nchi kwenye fani za kutafuta,kuchoronga,na kuandaa mikataba ya madini na gesi kuhakikisha wanarudi kufanya kazi nchini...
Shikamooni wakubwa zangu na wengine habari yenu?
Lengo la uzi huu si kuwafundisha kazi serikali au viongozi wetu najua wana mipango yao. Serikali inataka vijana wafanye nini au wawe wezi? Maana...
Ndugu wana jamvi ni takiribani miaka miwili tangia huyu Jpm aingie madarakani lakini mpaka sasa hakuwa alichokifanya kwa watumishi wa umma cha maana zaidi ya kuwaletea usumbufu wa uhakiki...
English version - Click here:
August 21 New Moon Brings a Total Solar Eclipse
Kawaida, kila baada ya kupatwa kwa Mwezi, kupatwa kwa Jua hufuata wiki mbili baadaye. Na hivyo ndio itatokea baada...
Naomba waziri anaye husika na wizara ya afya apige marufuku matumizi ya simu wakati wa kazi, nimeenda hospital ya sekoutoure mwanza nikiwa na mama mjamzito badala ya kupewa kitanda hakuna huduma...
Mwanaume mmoja alijaribu kujiua jana masaa machache baada ya mkewe kukutwa amekufa kwenye chumba chao mtaa wa Riverside Ubungo Dar es Salaam.
Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 75 alikamatwa na...
JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni limesema tayari limewahoji watu kadhaa kuhusu tukio la jaribio la kulipua nyumba ya Mwenyekiti wa Taasisi ya Imam Bukhary, Sheikh Khalifa Khamis.
Akizungumza na...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema msaada wa uchimbaji wa kisima cha huduma ya maji safi na salama kilichochimbwa kwenye Kituo cha Mahabusu ya Watoto Upanga, kimeipunguzia Serikali gharama ya...
Jana katika pita pita zangu nilikutana na rafiki yangu ambaye kwa sasa ni mtumishi wa umma, amechoka hana furaha na amejawa na huzuni tele, rafiki yangu huyo alinieleza mambo mengi ambayo...
[emoji779]UJUMBE WA LEO[emoji779]
*Maelekezo ya maisha katika Qur'an*
*1_Usizungumze kwa ukali (3:159)*
*2_Jizuie na hasira (3:134)*
*3_Kuwa mwema kwa wengine (4:36)*
*4_Usiwe mwenye...
Jaman wakuu naombeni ushauri ni mtandao upi upo vizuri kwenye swala la internet na vifurushi vyao maana nimeombwa ushauri nami nikajikuta nang'aa macho tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu kama ubaguzi bali duniani, na ata unaodhani wanakubagua kwa langi yako jua wewe mwenyewe ndo unajibagua
Hii ni nyia iliotengenezwa na wazungu ili waafrica wazidi kujidharau
Fikiria...
Kujenga Nyumba na kuweka/kuzungushia UKUTA (Fence) isikujengee kichwani mwako kuwa unaweka uzio kwa jirani yako, asikusogelee kulia shida yake, ama kuuliza/kujua hali yako....!!
Mungu ni Mwema...
Salamu ndugu zangu.
Wataalamu wa mambo ya electronics, telecommunication au wajuzi, ni kifaa gani cha kielectronic hutumika kufuatilia mawasiliano ya simu ya mkononi kwa hapa kwetu Tanzania...
Wakuu habari za siku,
Hii ni dictionary moja matata sana naombeni wakuu kama kuna mtu ana link ya latest version ya hii dictionary anisaidie au crack yake,
Ahsaneni sana.
KAHAMA: Licha Shule ya Msingi Lwabakanga kuzungukwa na migodi ya madini, wanafunzi 373 husomea nje kwa ukosefu wa madarasa
Mwananchi
Sent using Jamii Forums mobile app
SAKATA la malipo ya Dola za Kimarekani 168, 800,063 (takribani 400bn / -) dhidi ya kampuni mbili za Kitanzania limechukua sura mpya mara baada ya kampuni hizo kugeuza kibao na kutaka benki mbili...
SERIKALI imesema inaendelea kuboresha huduma za afya ya uzazi na mtoto ili wajawazito wanaohudhuria kliniki na kujifungulia katika vituo vinavyotoa huduma ya afya 2020.
Hayo yalibainishwa na...
Wakuu kama mada inavyojieleza
Mwenzenu katika umri wangu huu hadi sasa hapa JMT sijawahi kumwona askari police au Mwanajeshi Zeruzeru/Albino
Je hii inatokana na nini? Ubaguzi (Isolation of OSU)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.