Ninasikiliza kipindi cha 360 cha Clouds TV muda huu, na muda mfupi uliopita mtangazaji wa kipindi hicho Hassan Ngoma alikuwa akisoma vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali ya hapa nchini ya...
Yule David Tarimo wa PWC naye anaelekea kutaka kujitoa. Walau huyu anastahili heshima kwa kutambua mgongano wa kimaslahi kuliko Machunde aliyesingizia CHADEMA
Kamati ya madini yageuka kama...
Hakuna kusafiri kituo cha daladala cha mawasiliano asubuhi hii kwa wanainchi kutokana na mgomo wa daladala wa ghafla ktk kituo hicho.
Sababu za mgomo hazijulikani!!!
=====
Waendesha daladala...
Nyumba 286 Dar zapata kinga ya Mahakama katika bomoabomoa
Dar es Salaam. Wakati operesheni ya ubomoaji wa nyumba zilizoko ndani ya umbali wa mita 121.5 kutoka katikati ya Barabara ya Morogoro...
Uchongee kwa Wadeni wetu ili wakamate Mali zetu halafu Watanzania tukamuliwe hadi akiba zetu za Vikoba na Sakosi ili tuanze tena upya safari yetu ya Kiuchumi ambayo pengine hata Wewe ' mchongeaji...
Hii nchi ya ajabu sana, eti unazuia nurse asiuze dawa meanwhile unaruhusu medical attendant aendelee kufanya kazi za nurse wakati hajasoma nursing! Halafu kuna watu wanakurupuka na kusifu ati hiyo...
Wanajamvi waliosoma Likonde Seminary Miaka ya 80 na Tisini wapenda kuwaarifu mwenzetu Alphonse Nchimbi amefariki dunia jana. Taratibu za kusafirisha zinafanika kivule tayari kwenda wilaya ya Nyasa...
Ndoto za wanandoa wengi wanapooana huwa ni kuishi pamoja hadi kifo kinapowatenganisha. Vivyo hivyo, wazazi wao, ndugu na jamaa hupenda kushuhudia wanandoa hao wakifanikiwa katika safari ya maisha...
JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni limesema tayari limewahoji watu kadhaa kuhusu tukio la jaribio la kulipua nyumba ya Mwenyekiti wa Taasisi ya Imam Bukhary, Sheikh Khalifa Khamis.
Akizungumza na...
Pole na uchovu wa safari na kuendesha chombo kwa umahili mkubwa, hata hivyo mimi mmoja wa abiria wako nina swali moja tu, je Lori letu linaelekea wapi??
Wala hata usikasirike dereva wangu...
Usiku wa kuamkia leo, nikiwa nimetembelea ndugu zangu Tungi, Kigamboni, tumeamka asubuhi na kukuta begi langu halipo...alifungua dirisha kwa kitu cha chuma na kutoa loki ya dirisha. Ndani ya begi...
Pamoja na vifurushi Vingine,
Kifurushi cha strimika YouTube,
Walikuwa wanatoa mb 1200 kwa sh 500.
Natumia siku nzima bila kumaliza,
Lkn Ss kwa sh 500 wanatoa mb 600 ambazo hazimalizi hata saa1'...
Mwalimu wa shule ya msingi katika kata ya Ligunga tarafa ya Matemanga wilaya Tunduru mkoani Ruvuma Rajabu Morisi amefikishwa katika Mahakama ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake na...
Wadau kwema??
Kwa sasa na haswa kwa wilaya ya kinondoni umeingia mtindo wa watu wapo kama wahuni tu wakiwa na Noah yao na kuanza kukamata magari binafsi ambayo yanapaki kwenye vituo, je hii ni...
hello JF,
Sijui kama hio system ipo au bado,
Leo ningependa kuwe na utaratibu wa kuwapa mikataba ya miaka miwili tu walimu,
sababu,hatuwezi kuwaweka walimu wale wale sehemu moja,alafu...
Wizara ya nishati na madini amewataka wataalamu wanaopelekwa kusoma nje ya nchi kwenye fani za kutafuta,kuchoronga,na kuandaa mikataba ya madini na gesi kuhakikisha wanarudi kufanya kazi nchini...
Shikamooni wakubwa zangu na wengine habari yenu?
Lengo la uzi huu si kuwafundisha kazi serikali au viongozi wetu najua wana mipango yao. Serikali inataka vijana wafanye nini au wawe wezi? Maana...
Ndugu wana jamvi ni takiribani miaka miwili tangia huyu Jpm aingie madarakani lakini mpaka sasa hakuwa alichokifanya kwa watumishi wa umma cha maana zaidi ya kuwaletea usumbufu wa uhakiki...
English version - Click here:
August 21 New Moon Brings a Total Solar Eclipse
Kawaida, kila baada ya kupatwa kwa Mwezi, kupatwa kwa Jua hufuata wiki mbili baadaye. Na hivyo ndio itatokea baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.