Zingatia haya

chichimizi

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
1,074
338
Kama hujiwezi basi achana na kudate na mwanamke maskini.
Ewe kijana msaka tonge kama unandoto za kuwa tajiri basi zingatia hili.

Unaweza ukajikuta unatumia laki 4 kwa matumizi yake na ndugu zake kwa mwezi ile hali ww unaingiza laki 6 kwa mwezi.....

Najua mtasema sio wote lakini sheria ya wengi hubeba wote inatumika.

Hatakama mwanamke ni mzuri kiasi gani lakini kama ni kapuku pls kaambali naye....tunapendaga kusema ntamuendeleza kwakumfungulia biashara heheee my dear brothers wengi wamelia kupitia kausemi haka....

My take: ni kwa wale tu ambao wanandoto zakumiliki mpunga mrefu.

Sorry dear ladies maisha yamebadilika

Imetolewa na MUHENGA mwenzenu
commred Chichimizi
21/08/2017

commred Chichimizi
 
Kweli Hall imekuwa ngumu sasa Dada zetu wazuri ambao hawasomi wanajifariji kunamtu anawasomea mwisho wa Siku wanabaki maskini mbona wana hali ngumu

Ni ngolane
 
Kweli Hall imekuwa ngumu sasa Dada zetu wazuri ambao hawasomi wanajifariji kunamtu anawasomea mwisho wa Siku wanabaki maskini mbona wana hali ngumu

Ni ngolane
Life limebadilika sana Yani

commred Chichimizi
 
Hapa naona ukivunja mioyo ya Dada zetu wanaoshinda saloon kupiga umbea

Karne ya kila MTU kupambana na hali yake
Kwa maana hakuna namna mkuu usawa umechange lazima tusaidiane

commred Chichimizi
 
Back
Top Bottom