Tujaribu kuwa wazalendo hata kidogo basi

Tujaribu kuwa wazalendo hata kidogo basi

kibuyu180

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
1,796
Reaction score
1,956
Wewe uwe CCM, wewe uwe CHADEMA, wewe uwe CUF n.k linapokuja suala la maslai kwa taifa tusimame kwa umoja.

Hoja ya msingi ikitolewa yenye tija kwa taifa tusianze kuangalia umetolewa na nani? Hata hao waropokaji kuna wakati wanaropoka ya msingi sana.

Badala yake tutumie akili katika kuijadili hiyo hoja. Na tuwe waaminifu kumpongeza mzalendo bila kujali itikadi. Tanzania ni yetu sote na tutaijenga sote.
 
Wewe uwe CCM, wewe uwe CHADEMA, wewe uwe CUF n.k linapokuja suala la maslai kwa taifa tusimame kwa umoja. Hoja ya msingi ikitolewa yenye tija kwa taifa tusianze kuangalia umetolewa na nani? Hata hao waropokaji kuna wakati wanaropoka ya msingi sana. Badala yake tutumie akili katika kuijadili hiyo hoja. Na tuwe waaminifu kumpongeza mzalendo bila kujali itikadi. Tanzania ni yetu sote na tutaijenga sote.
unajua nini mkuu, tatizo hao wanaosema waropokaji tunaaminishwa kuwa ni magaidi na tunalazimishwa tuwachukie, wakati nchi ni yetu sote, sasa hii aibu hii
 
unajua nini mkuu, tatizo hao wanaosema waropokaji tunaaminishwa kuwa ni magaidi na tunalazimishwa tuwachukie, wakati nchi ni yetu sote, sasa hii aibu hii
Ni kweli kaka. tatizo watanzania hatuna muda wa kutafakari mambo. yaani wapo wanaotuwazia na kutujibia
 
Labda uanze kwa kueleza maana ya UZALENDO nini? Labda hapo tutajenga hoja,... Maana kila mtu uwa anatafsiri yake ya ilo neno na hapo ndo tatizo linapoanzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda uanze kwa kueleza maana ya UZALENDO nini? Labda hapo tutajenga hoja,... Maana kila mtu uwa anatafsiri yake ya ilo neno na hapo ndo tatizo linapoanzia

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzalendo ni kusema ndiyooo hata unapoibiwa,
Uzalendo ni kutohoji
Uzalendo ni kujitangaza hadharani kuwa mcha Mungu,
Nadhani nimefafanua ipasavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaah Ukiwa na watotot 10 Alafu wew ni maskini ukitoa mmoja sadaka sio dhambi lakin kutoa 9 ukabaki na mmoja ni dhambi anachokifanay baba jesca........Bongo nyoso uzalendo wa nini sasa mkuu
 
Back
Top Bottom