Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Uyu dada namfaham sabab alisoma nami shule Level nlimwacha kidogo madrasa. Akaja olewa na mshkaji ambaye tulikuwa naye ofisi moja. Kwenye harakati za mtu mweusi. Wamefanikiwa kupata watoto watatu...
6 Reactions
25 Replies
557 Views
Wadau myimwike, Nimefanya kazi baadhi ya sehemu za pwani, wakati wadau humu wanazungumzia kuoa au kutoa kuoa singo maza Wenzetu pwani hawana stori hizo. Kuoa rahisi kuachana ni rahisi pia hawana...
24 Reactions
194 Replies
3K Views
Kuna taarifa zinatembea chini kwa chini kuwa huenda mtume Boneface Mwamposa akanyanganywa madhabahu ya Kawe baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi kuhusu namna anavyowatendea waumini wanaotoka...
13 Reactions
64 Replies
1K Views
Tusiache kufanya check up Miaka kadhaa nilipompokea Yesu Kristo kama Bwana na Mokozi wa Maisha yangu, nakumbuka siku ile ilikuwa ni ya kipekee kiasi kwamba ndani yangu kuliingia pendo kubwa sana...
2 Reactions
2 Replies
69 Views
Wasusi mbalimbali nchini wameaswa kutumia programu maalumu ya kampuni ya Darling Hair inayojlikana kama ‘Loyalty’ kujiendeleza kutokana na zawadi wanazoshinda. Hayo yamesemwa katika hafla ya...
0 Reactions
0 Replies
29 Views
Baada ya mdau kulalamikia tatizo la maji kutitirika katika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
16 Views
Fr. Kitima amesema kuwa uwepo wa wagombea wengi wa nafasi ya Urais kutoka vyama mbalimbali katika uchaguzi wa mwaka 2025, tofauti na ilivyozoeleka, kulitokana na kuondoka kwa dhana ya ushindani wa...
0 Reactions
0 Replies
40 Views
Wataalamu wa afya wamehama kutoka kwenye Partography na kuhamia kwenye Labour Care Guide kama maboresho ya ku monitor Labour process mpaka pale mama anapojifungua ili tu kuhakikisha mama na mtoto...
1 Reactions
4 Replies
42 Views
MSHANA JR UMEOKA AU BADO UPO KWENYE HII FANI,KUNA JAMBO NATAKA TUMFANYIE MTU MMOJA UMU NDANI Mtu wa vizinga secretarybird Tumfute alafu tumchole Tena Kisha tumueke na tutitiii sa 6 palipo bak...
5 Reactions
22 Replies
263 Views
Anonymous
Kuna tatizo la watu hawa wanaojifanya matajiri kupitia Forex na kuigiza maisha ya kifahari? Ukweli ni kwamba kuna mmoja alituaminisha sana. Mimi na rafiki yangu tukachanga shilingi milioni 5 na...
17 Reactions
72 Replies
1K Views
Kama ulikua hujui kuwa kua Dr dogoli AMEWAHI KUTAPELIWA PIKIPIKI KIZEMBE wacha nikufahamishe;- Dogoli huyu kabla ya kuwa daktari, Amewahi kufanya kazi tofauti tofauti kama ilivyo kwa vijana...
0 Reactions
5 Replies
80 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limesema Mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30 hadi 35 amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na Polisi, akidaiwa kuingia katika Benki iliyopo Rock...
11 Reactions
101 Replies
1K Views
Vitabu vya Agano Jipya viliandikwa na watu waliokuwa na ufahamu mzuri wa Kigiriki cha Koine, kwa hivyo kuna uwezekano mkubwa kwamba walizungumza Kigiriki katika maisha yao ya kila siku kama lugha...
4 Reactions
61 Replies
1K Views
Nimepita mikoani hususani vijijini ila nilichokutana nacho ni vilio vya wakulima kila kona. Hali ya upatikanaji wa mbolea imekuwa ni ya shida mnoooo!!! Kila maduka ya mbolea utakayopita unaambiwa...
1 Reactions
12 Replies
396 Views
Nimekuwa nikikwazwa sana na huduma katika Tawi la CRDB TFA Arusha, hasa linapokuja suala la muda wa kuhudumiwa. Kuna wakati unaenda benki kwa ajili ya kufanya huduma rahisi tu kama kuweka fedha...
0 Reactions
0 Replies
24 Views
Muonekano wa Shule ya Msingi Grace Mesaki iliyopo katika Kijiji cha Singa, Kata ya Kinampundu, Wilayani Mkalama. Mradi huu wa ujenzi wenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 300 umeboresha kwa...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Mweye muda someni hiyo thesis mpate mwanga wa sheria ya kutunza siri za wateja bank rom commonwealth jurisdiction of which we borrow our laws/precedents. Najua ukitaka kuwaficha watanzani kitu...
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Kituo cha Sheria na haki za Binadamu kimeungana na wadau wengine kuadhimisha siku ya Demokrasia Duniani ambayo inaadhimishwa leo September 15, 2026. Katika Maadhimisho hayo unafanyika mjadala...
0 Reactions
0 Replies
22 Views
Back
Top Bottom