Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KWEMA SCHOOLS: Mfumo Kamili wa Kujenga Kizazi Bora cha leo na Kesho kwa Manufaa ya Taifa. Katika ulimwengu wa leo, ambapo elimu bora inahitaji kuunganishwa na huduma za kijamii na kiafya, Kwema...
6 Reactions
22 Replies
197 Views
Hivi nyinyi watu mnaokwenda baa halafu mnaagiza chupa moja tu ya maji na kukaa nayo zaidi ya masaa matatu, kichwani zinawatosha kweli? 😂 Wenye baa, wekeni utaratibu mpya au mpandishe bei ya maji...
5 Reactions
20 Replies
382 Views
Taarifa ambazo zimetufikia mchana huu ni kuwa makundi makundi ya Walokole yamesukwa kufanya mauaji kwa Siri au hadharani ya kumuua Bw. Civilian-Coin Nalimi Kisandu almaarufu CIVILIAN-COIN taarifa...
8 Reactions
34 Replies
449 Views
sokoni Buguruni Wilaya ya Ilala tumechangiswa 100000 kwa ajili ya kupangwa pembezoni mwa barabara
0 Reactions
0 Replies
16 Views
Usugu wa dawa hali hii hutokea pale dawa flani inaposhindwa kutibu ugonjwa husika mfano unapimwa una Malaria ya kawaida not severe ila unapewa dawa ya mseto ambayo ni first line na dawa inashindwa...
15 Reactions
26 Replies
3K Views
Mbona muda unazidi kwenda? Watu wa system tuambizane jamani tujiandae na chochote kitu mana mkono mtupu haulambwi
4 Reactions
55 Replies
451 Views
Pole sana ndg yetu kwa hilo janga lilikupata la ugonjwa wa kansa, magonjwa ni ya kwetu sote sisi binadamu na maisha ni mzunguko. Please usikate tamaa kiasi hicho maisha huwa yanakupa second...
32 Reactions
72 Replies
2K Views
Ili kuchangia hoja yenye mashiko kwenye nyuzi fuata hatua hizi: 1. Soma muktadha - Angalia hoja zilizopo na mwelekeo wa mazungumzo. 2. Thibitisha uhalali - Hakikisha hoja yako ni sahihi (tumia...
8 Reactions
33 Replies
270 Views
Mfano ona hapa majina ya baadhi ya Watoto wa Rais Museveni ni , 1.Muhoozi Kainerugaba 2.Patrice Rwambogo 3.Natasha Museven Karugire Kwa sheria za Tanzania unaonekana hauna mtoto sijui mpaka...
5 Reactions
40 Replies
701 Views
Kuna Watu Wanahitaji Msaada, Ila Hawajui Namna Ya Kuomba Bila Kujidhalilisha Habari wana JF, Leo asubuhi nimeamka na wazo moja zito sana kichwani. Kuna kipindi katika maisha mtu anapitia hali...
11 Reactions
37 Replies
365 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, imemsimamisha kufanya kazi ya uwakili kwa kipindi cha miezi sita Wakili Johnson Kachenje, baada ya kubainika kunukuu katika hoja zake hukumu za...
7 Reactions
33 Replies
525 Views
Lorna Fidelia hufanya kazi ya kuwabebea wengine uja uzito. Amewahi kubeba mimba ya pacha watatu miaka michache iliyopita na sasa anatafuta kubeba mtoto mwingine. Lorna ni miongoni mwa wanawake...
3 Reactions
7 Replies
119 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema zaidi ya wadau wa sekta ya afya 3000 kutoka nchi mbalimbali Duniani...
1 Reactions
1 Replies
25 Views
Kuna kipindi kwenye maisha unakaa kimya na kujiuliza, “Hivi kweli nilifikaje hapa nilipo?” Wengine wanaona tabasamu lako na kudhani kila kitu kiko sawa. Hawajui ni vita vingapi umepitia kimya...
15 Reactions
44 Replies
425 Views
Mwanamke mwenye umri wa miaka 52, Maggie Sapatu, kutoka Mwinilunga nchini Zambia, amezawadiwa gari baada ya kutembea kwa miguu karibu kilomita 1,000 hadi Lusaka kwa lengo la kumshukuru Rais...
6 Reactions
61 Replies
639 Views
NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU. Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa. 1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno...
21 Reactions
206 Replies
2K Views
A former Catholic priest in Kenya, Father Sandro Ferretto has officially renounced the priesthood and wed his partner, Sharon Jepngok, in Baringo South. The Italian-born former cleric previously...
4 Reactions
10 Replies
91 Views
Kuna training nimejiunga na wana Discord channel, cha ajabu eti imefungiwa Tanzania Sasa mbona mmezidi wadau? Kwa kweli sijapenda na nimechukia sana
4 Reactions
4 Replies
139 Views
Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
7 Reactions
64 Replies
692 Views
Back
Top Bottom