Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hapa Tundu Lissu lazima anyongwe https://www.youtube.com/watch?v=vxDqeVBOJ10 ALICHOKUWA ANAMAANISHA KWA MUJIBU WA Nassoro Katuga 1. ATAPINGA KWA KULETA VITA 2. Mlihamasishana na wananchi kwenda...
3 Reactions
16 Replies
172 Views
Nimekosa namna ya kuweka Heading vizuri. I'm sorry 😔. Kwa uelewa wangu na uzoefu wangu Hadi nimefikia hapa nilikuta dhana kama hizi Mwanamke akiwa hedhi akiingia kwenye shamba la nyanya ama...
16 Reactions
86 Replies
824 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akiongoza kikao cha Maandalizi cha Viongozi na Wataalamu mbalimbali kutoka Tanzania, wanaoshiriki Jukwaa la Kisayansi la...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Ujenzi wa Shule Mpya ya Makulo, iliyopo katika Kijiji cha Makulo, Kata ya Nkinto, Wilaya ya Mkalama, yenye thamani ya TSh milioni 300.2, umeleta matumaini mapya kwa wananchi wa eneo hilo na...
0 Reactions
0 Replies
14 Views
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro, amethibitisha kupatikana kwa mwili wa mtu anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 hadi 40 katika eneo la Mwenge, Dar es...
1 Reactions
1 Replies
47 Views
Mapema kabisa hakikisha mke na yeyote aliye ndani ya himaya yako anatii na kufuata sheria ulizoweka. Kusiwe na majadiliano yoyote ili mradi humuonei mtu. Mke, mtoto, ndugu au mgeni aliye ndani ya...
15 Reactions
66 Replies
1K Views
Serikali kupitia Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inatekeleza mradi wa Kongani la Viwanda vya Korosho wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 300 katika eneo la Maranje, Halmashauri ya Mji...
1 Reactions
8 Replies
196 Views
Tukate mzizi wa fitna, isije ikawa ni story za mitaani au mitandaoni ni tofauti na uhalisia Wewe kama muislam ukiwa na wazazi, ukiwa madrasa au utotoni uliwahi kufundishwa kuchukia wakristo ...
3 Reactions
18 Replies
181 Views
Habari JF, Tanzania ina vijana wengi wenye nguvu, elimu na ndoto kubwa za maisha. Lakini changamoto za ajira, gharama za maisha, mitaji midogo na ushindani wa biashara zinaendelea kuwa sehemu ya...
5 Reactions
12 Replies
100 Views
■Uchakataji mchanga wa baharini Afrika kufanyika Pangani ■Ni wakati mradi wa tril 56 kitovu cha nishati ukiendelea.
0 Reactions
1 Replies
22 Views
Ilikuwa 2022 tuko kijiweni mida ya saa tano asubuhi, muda huo tume paki Pikipiki tuna piga stori, mara ikaja gali ndogo ya abiria akawa ameshuka jamaa ana begi dogo Mgongoni. Kama ilivyo kawaida...
9 Reactions
12 Replies
183 Views
Kila kitu ni kwa kiasi, nikweli pesa ni muhimu lakini usikutawale kupitiliza, mpaka ukakosa utu Kuna siku nilikuwa na jamaa yangu tulipata kazi sehemu, tumefanya hiyo kazi, ikafikia hatua...
11 Reactions
58 Replies
540 Views
SHAHADA HESHIMA YAKE IONEKANE KATIKA KAZI Adeladius Makwega – MBAGALA Nilipokuwa nasoma Chuo Kikuu katika Shahada ya Sanaa ya Habari, nilifundishwa somo lililoitwa Cultural Anthropology...
1 Reactions
1 Replies
59 Views
Uchambuzi wangu ni huu.. Je kuna nilichosahau? Maisha ya uswazi" ni msemo unaoelezea mtindo wa maisha katika makazi ya watu wa kipato cha chini au maeneo yasiyopangwa vizuri (slums/informal...
6 Reactions
49 Replies
865 Views
Miaka kadhaa mara baada ya kuangaika hapa na pale kutaguta ajira nikafanikiwa kuajiriwa ofisi moja ya umma Kwangu lilikuwa jambo la heri sana kupata kazi, na kwa wazazi wangu walifurahi sana...
9 Reactions
12 Replies
277 Views
1. Wakala wa vipimo (WMA). Wakala wa vipimo ulianzishwa ili kuleta usawa kwa mlaji na mtoa huduma lakini vituo vya mafuta vinadhulumu walaji. Sasa hivi bei ya mafuta iko juu na vituo vya mafuta...
17 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari wakuu natumaini mko salama. Kisa hiki kilinitokea mwaka 2007 Pala Arusha njiro Nilikua nachukua ujuzi wa kuchomelea mageti na vitu vingine vya Jamii ya chuma . Nilikua mwaminifu sana na...
4 Reactions
6 Replies
152 Views
Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist 𝑺𝑰𝑵𝑨 𝑲𝑨𝑵𝑰𝑺𝑨 𝑯𝑼𝑫𝑼𝑴𝑨 𝒀𝑨𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑰 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬👉🏿 𝑵𝑨𝑺𝑯𝑨𝑹𝑬 𝑵𝑬𝑵𝑶 𝑳𝑨 𝑴𝑼𝑵𝑮𝑼 𝑵𝑨 𝑾𝑨𝑻𝑼 𝑶𝑵𝑳𝑰𝑵𝑬 𝑳𝑰𝑾𝑬𝒁𝑬 𝑲𝑼𝑾𝑨𝑷𝑨 𝑵𝑮𝑼𝑽𝑼 𝒀𝑨 𝑲𝑼𝑬𝑵𝑫𝑬𝑳𝑬𝑨 𝑲𝑼𝑷𝑨𝑴𝑩𝑨𝑵𝑨 𝑲𝑾𝑬𝑵𝒀𝑬...
6 Reactions
42 Replies
201 Views
Binafsi sidhani kama mwanamke wa kiislamu mjane na ambaye inasemekana ni rais akumbatiwe namna hii. Kwa maoni yangu ninavyoona sio sahihi. Jamaa ukumbatiiaji umevuka mipaka.
19 Reactions
105 Replies
2K Views
Joseph Igumba Mwakabana — askari mstaafu. Mwili wake ulipatikana na mazishi yakafanyika baada ya ibada Kinyerezi
1 Reactions
10 Replies
52 Views
Back
Top Bottom