Kweli kiba noma, kutoa nyimbo moja tu umesababisha WCB kukusanya nguvu zooooote na kum fight

Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,383
2,000
Aisee sasa nmekubali moto wa kiba ni hatari, Mondi kaona peke yake hatamshinda, baada ya alikiba kutoa nyimbo ambayo hadhi yake siyo ya nchi hii inayoenda kwa jina la Seduse me sasa team nzima ya wafuaji wameungana na kutoa nyimbo ili walau wamshushe, Kiba we ni noma braza na hakika kwa goma hilo mond pekee asingeweza japo ata walivoungana ngoma yako bado inawafunika..
Wakiongea kwa nyakati tofauti wakazi wa jiji hili wamedokeza kua mondi amekua km mwoga kias cha kuhis kua akiwa pekee hatamuweza. Ujue kiba n mbunifu sana na ndio maana nyimbo zake hazichuji haraka, "we angalia nyimbo ya AJE imekaa maskion muda gani haijachuja huku mwenzio kila week anatoa na baada ya siku sita wimbo unachuja", alisikika akihoji kijana mmoja ambae hakutaka kuandikwa jina lake. Kwa hiyo itoshe kusema tu kua wcb wameungana ili walau waweze kumshusha kiba baada ya kuona moto wake hausogeleki
 

gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
6,105
2,000
Ha ha ha eti anatoa wimbo kila baada ya wiki..baada ya siku 6 unachuja...
Alisikika akihoji kijana mmoja!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom