Ticket za EFD mabasi yanayoenda mikoani

Ticket za EFD mabasi yanayoenda mikoani

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,378
Nilisikia mabasi yangeanza kutoa ticket za efd week chache zilizopita.. But nmeshangaa leo nmepewa ticket za karatasi. Wajuzi mtuambie what happened?
 
Nilisikia mabasi yangeanza kutoa ticket za efd week chache zilizopita.. But nmeshangaa leo nmepewa ticket za karatasi. Wajuzi mtuambie what happened?

Kwani hizo za EFD sio za karatasi?
Wengine tuko maporini Hulu, tudadavulie
 
Mkuu mbona wanatoa tiketi za EFD labda wewe tu walikuona wa mkoani, ila watoto wa hapa mujini (dar) lazima watupe tiketi stahiki ya EFD
 
Mkuu mbona wanatoa tiketi za EFD labda wewe tu walikuona wa mkoani, ila watoto wa hapa mujini (dar) lazima watupe tiketi stahiki ya EFD
Mkuu haupo siriaz.. Inamana hilo jambo sumatra dhawalifahamu?
 
Watu wanakesha usiku na mchana kuharibu ipo siku tutaiharibu ili tukae mezani tuongee vizuri
Daaahh jitahidi bana maana wenye mitaji midogo hadi tunaogopa kufungua biashara tukianza kufikilia hzo machine.. Maana mwanzo walisema kwa wale wenye mitaji kuanzia kiasi fulani ndo watumie ila ikaja kubadilishwa mpaka mnywa kikombe cha chai apewe risiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkimaliza mje kwenye daladala,
Yumechoka kupokea vitiketi kama vimemo.
 
Back
Top Bottom