Wamiliki wa baa zilizobomolewa kupisha upanuzi wa Barabara ya Morogoro eneo la Kimara Stop Over wameendelea kufanya biashara kwenye masalia ya majengo yao, wakitundika miamvuli kwa ajili ya...
Tangu JK aliambie taifa kwamba eti kuna "udini" baada ya kushindwa kwa kishindo katika uchanguzi mkuu wa Oktoba, 2010, bado haijafahamika hasa alimaanisha nini kuhusu hilo!
Bahati mbaya sana JK...
Nakumbuka wakati Niko chuo darasa letu lilikuwa na watu wenye umri had over 50. Kuna Mzee mmoja nilimheshimu sana nikawa namuita Baba kwa maana ya umri alio nao ni Sawa na baba yangu.
Siku moja...
Mwanahabari Badra Masoud ambae sasa ni msemaji wa Wizara ya Nishati na madini unaweza kusema ni mtu mwenye bahati sana sababu matukio makubwa yanayohusu serikali hadi mawaziri kuondolewa...
Nasikiliza TBC kwenye kipindi hiki cha saa tano na nusu (mirindimo) mtangazaji anazungumzia kuundwa kwa jina la TANZANIA ! akisema imetokana na Tanganyika na zanzibar lakini kilichonichefua...
We!! mtanzania pata picha lowassa ndio angekuwa ameenda kupanda kivuko cha magogoni,lowasa kwa sasa eiza angekuwa anahojiwa kwa kosa la kupanda kivuko,ama yuko ndani kwa kosa la kupanda kivuko...
Hawa jamaa walianza vizuri sana,speed kali na bei nafuu mpaka nikawa addicted nao
Majuzi wamepandisha bei ya vifurushi na speed imeshuka bado nipo loyal ila this week nimegundua kitu cha ajabu...
Nimeisikia hii story mara kadhaa ila silioni andiko lake online.
Je ni kwanini aliwahasi wanaume wafupi kwa kimo huyu dikteta? Anaeielewa story yake atiririke tafadhali tupate elimu.
Sent using...
Huu wimbo ni mzuri, sharing is caring
"God Bless The Child (Extended Remix)"
Hallelujah, hallelujah,
God bless the child who suffers
Hallelujah, hallelujah,
God bless the young without mothers...
Dar es salaam. Ghorofa la Revy Kapinga, mjane aliyetaka kwenda kugalagala kwa Rais John Magufuli, limebomolewa nusu.
Jengo hilo ambalo pia lina ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Stop Over...
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 filamu za kitanzania hasa maigizo katika vipindi mbalimbali vya televisions vilifana sana.
Ingawa mwanzoni mwa 2010-2015 filamu zilianza kushuka kwa kazi kutokana na...
Selcom kama kazi ya kuhudumia watanzania imewashinda mtafute kazi nyingine. Haiwezekani nifanye muamala tangu jana na pesa isiingie kwenye simu badala yake mnasema funds will be credited within 30...
Naibu katibu mkuu wizara ya uchukuzi, Monica Mwamunyange
SERIKALI imekubali kuchukua madeni yote ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) na kuyalipa, baada ya uhakiki ili kutoa fursa kwa shirika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.