Zilipendwa Ni Fire

Zilipendwa Ni Fire

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,408
*stress ni nini?*
*Ni pale alikiba anapotoa seduce me, afu wasafi wanaizima na kuipoteza kabisaa na ngoma kali ya zilipendwa*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[HASHTAG]#WCBFORLIFE[/HASHTAG]

Team Nyumbu ruksaa povuu
7e1971937f993494ba4ec4a87af1b5a0.jpg
 
huu ni utoto, kiba katoa wimbo kuna watu wameupenda, domo katoa pia kuna wagonjwa kama ww mmeupenda

kila mmoja ana mapenzi yake, kwa mm sijaona ukali wa wimbo wa domo
 
huu ni utoto, kiba katoa wimbo kuna watu wameupenda, domo katoa pia kuna wagonjwa kama ww mmeupenda

kila mmoja ana mapenzi yake, kwa mm sijaona ukali wa wimbo wa domo
Heri we mzima WA afya lakini mjinga WA akili

Soma Alama zanyakati acha mihemko
 
Heri we mzima WA afya lakini mjinga WA akili

Soma Alama zanyakati acha mihemko
unaweza kuwa mgonjwa alafu usijielewe kama mgonjwa, asa hapa wameimba nini?

ama kuweka vionjo kwenye idea ya matonya unaona jambo la maana
 
Ali kiba sio siri huo wimbo hamna kitu mwanzo mwisho anajisifia tu yeye majina yake eti basi hata ujumbe what to conclude hamna

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeeh unataka ujumbe [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....
Hivi ujumbe gani ambao ungependa upewe katika zama hizi ili unusurike na hii life?
 
Back
Top Bottom