Wamewekeza kwenye viwanda kinyume na sheria iliyounda mfuko huo ila kwa sababu ni maagizo ya mvunja katiba na sheria hawana njia nyingineImekuwa ni tabia ya wastaafu wanaolipwa pension kupitia posta Ilala Amana kucheleweshewa malipo yao bila ya kuambiwa sababu.Makibaliano ya awali na NSSF ilikuwa malipo yatakuwa tarehe 25 ya kila mwezi
Tunaomba tujulishwe nini kinachoendelea.
Ni Mfuko wa hovyo mnoooAise sijawai ona mfuko mbovu wenye ukiritimba na lugha mbovu kama huu...
Sent using Jamii Forums mobile app