Mwenzetu Kandambilimbili alitutoka tangu 26/12/2010 jumapili na amezikwa jana kwao Bukoba.
Alizaliwa mwaka 1971 hivyo ametutoka akiwa bado kijana. Alikuwa na tatizo la kisukari tangu muda mrefu...
Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeahirisha mitihani ya kitaifa katika vyuo vya Afya nchini ambayo ilitakiwa kufanyika Septemba 1 2017 kupisha sikukuu Eid...
Dar es Salaam.
Nyumba 300 zilizojengwa kwenye eneo la hifadhi la Bonde la Makamba wilayani Temeke zinatarajiwa kubomolewa. Imeelezwa kuwa eneo hilo limetengwa kwa ajili ya kuendeleza ukanda wa...
Loss of Direction, Very unfriendly Environment
Ninaandika kupata maoni yenu juu ya sekta ya fedha, particularly contribution mbovu ya CRDB katika utoaji wa huduma za kibenki.
Hapa nazungumzia...
Napenda kuwa wazi kabisa kuwa tabia iliyoonyeshwa na baadhi yetu si ya kukisaidia chama bali ni kukifanya kionekane cha hovyo. Hata kama tunatofauti zetu katika Jumuiya na Chama haipendezi...
Hivi karibuni tumemsikia Mkurugenzi wa idara ya Habari na Maelezo, Dr. HASSAN ABBAS, akizungumza na waandishi wa habari jiji Dar es salaam. Kati ya mambo mengi aliyoyazungumza, Dr. ABBAS...
Baadhi ya Mawakili wasema wameshindwa kutii azimio la TLS la kugoma kwa siku 2 kutokana na umuhimu wa kesi wanazosimamia na uharaka wake.
Miongoni mwao ni Albert Msando.
======
MAWAKILI wa...
Kama kichwa cha Habari Kinavyojieleza
Nipo Hapa kwa ajili ya kujib
Maswali Yanayohusu Huu Mradi
Ni kod za wananchi zinazotumika
Sio mbaya Wananchi wakijua kodi zao zinatukikaje katika Mradi...
Duniani kuna Madhehebu ya kikristo zaidi ya Million 37 ...
Kati ya haya yafuatayo ndio Makanisa yenye vyuo vikuu vingi ulimwenguni...
1: Kanisa Katoliki: Wanazaidi ya Vyuo vikuu 1300...
Nyumba zilizojengwa katika eneo tengefu lililopo Mbagala, Toangoma Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam zimewekwa alama ya X kwa ajili ya kubomolewa kutokana na madai ya kujengwa kwenye eneo...
Habari za wakati huu wakuu,
Ninataka kununua kiwanja ili nijenge kakibanda kakuanzia maisha chanika.
Naomba msaada kwa wanaoijua vizuri chanika,wanisaidie taarifa zifuatazo.
Ni umbali wa masaa...
Kampuni ya TIGO sasa yatapeli wateja wake vifurushi:Kampuni ya Tigo sasa ,inajitegenezea kaburi ,la kutoweka katika huduma za simu nchini Tanzania baada ya kuanza utapeli kwa wateja wake.Kwa wiki...
*AJIRA ,VIONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA*
Na
Abdul Nondo.
Leo hii kuna picha zinazosambaa mitandaoni na zinazua mjadala katika mitandao ya kijamii , zinahusu wahitimu wavyuo vikuu (graduates)...
Kwa vile hakuna sheria inayomkataza Rais kufanya biashara akiwa Ikulu au hata kushirikiana na mmoja wa mawaziri wake kuingia ubia wakiwa madarakani kufanya ujasiriamali. Kwa vile mara nyingi...
Na Kiganja wa Mkono
WATANZANIA tumekuwa na tabia ya kungoja mpaka viongozi wetu wanapoondoka madarakani, ndiyo tunakua mahodari wa kuwakosoa. Tabia hii hutoa mwanya mkubwa wa kutokuyabainisha...
Kwa msg nilionayo
oryx gesi wamepandisha bei kama ifuatavyo
Kg 6 kununua 17"000 kuuza 20"000
Kg 15 kununua 42"000 kuuza 47"000
sijaelewa lengo la kuchezesha watu akili hivi ninii
Ni hivi majuzi...