ugali dagaa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,286
- 1,131
Serikali yetu ya JMT ina mihimili mikuu mitatu ambapo leo naomba nijikite kwenye huu muhimili mahakama, kiukweli huu muhimili ni sanamu nasema hivi kwa kurejea kilichotokea Kenya katika kesi ya kupinga uchaguzi ambapo mahakama imebatilisha uchaguzi ambao ulimuweka raisi madarakani kwa hapa kwetu huu ni muhimiki unaendeshwa kwa amri kutoka kwenye watu wenye ushawishi mkubwa kifedha na madaraka naangalia watu wanavyolumiwa mahakamani kwa kukosa ushawishi wa kiuchumi ama wa kimamlaka kifupi sio mihimili huru tunashindwa kuwaheshimu hawa wanasheria mawakili mahakimu kwani kwani tunajua shauri likifika kwao wanakuwa hawana mamlaka ya kuamua chochote bali kwa kufuata ushawishi wa mwenye shauri lake....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app