hello wanajamvi,
hii thread ina lengo la kumuhimiza mkuu,
kutaifisha mali zote walizochukua mafisadi,
asiwapeleke mahakamani,
ni wastage of time and resources,
since,wata hire expensive...
Eti waheshimiwa kuna izi id zinaishia na tz mfano Michaeltz,Tundulissutz, Harmonizetz Je Hizi id kwa lugha na mtizamo rahisi hazina chembe za uhuni ndani yake?
nikiwa na maana kwamba unaeza...
Najaribu kuwaza hivi from a scientific point of view:
Waafrika tumekaa na Matende na mabusha kwa kanda ya pwani; waafrika tukemaa na thyroid Goiter kwa kanda ya ziwa kwa miaka karne na karne...
Leo nimekutana na msahiliwa mmoja aliyechoma nauli kutoka Mwanza hadi Kituo cha Usahili jijini dar es salaam akiwa amejiandaa na mambo ya kodi, na masuala lukuki ya uchumi akaishia kukutana na...
A tyrant (Greek τύραννος, tyrannos), in the modern English usage of the word, is an absolute ruler unrestrained by law or person, or one who has usurped legitimate sovereignty. Often described as...
Hivi hizi hasara ambazo taifa linabeba kutokana na ukurupukaji wa ccm na kuingia mikataba ya kinyonyaji kwa makusudi na kwa maslahi yao binafsi mfano ukurupukaji kwenye samaki wa magufuli...
Hello JF,
Sijui kama na nyie mlifikiria hli,
kuwaita watu maelfu kwenye usahili ambao watu 400 only ndio wanahitajika,ni uonevu,
tena wawalipe for travel and other expenses,
sijui ni mimi ndio...
Wadau Salaam,
Naomba msaada wa kujuzwa mgahawa unaopika mapishi mbalimbali ya kitanzania Kama Zanzibar mix, kisamvu , biriani , pilau , mlenda , njegere za Nazi n.k . Kama mgahawa ukiwa ni wa...
Habari wadau,
Huu uzi nauandika huku bado nikiwa na maswali kibao kichwani,
Leo asubuhi nilikuwa na mishe za town mapema sana hata ofisini sijaingia, kuona hivyo nikaona bora nimchukue mke...
Mh. Rais Magufuli namuomba atembelee Mamlaka ya Usimamizi wa shughuli za Bima kwa kiingereza Tanzania Insurance Regulatory Authority aone mkurugenzi mkuu aliyemteua anavyofanza teuzi ndani ya...
Hakuna ambaye amenusu kama zile billions zinatalipwa na wanaume au la! Mwenye update atuambe!
=================
Sina chanzo chochote cha taarifa za ndani kati ya serikali na acacia . Ila nadiriki...
Mbunge mteuliwa wa CUF, Bi Hindu Mwenda amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Mungu aweke roho ya marehemu mahali pema peponi!
Sent using...
Ajali mbaya imetokea bus aina ya SADJA likitokea Mbeya kwenda Songea. Watu kadhaa wamejeruhiwa hakuna aliye fariki.
Poleni ndugu zangu mliopatwa na ajali ya basi maeneo ya Kifanya, M/Mungu muweza...
Nina ka gelo friend kangu karembo lakini kamdomo kake kananuka kama mamba.hali hii inaninyima raha sana ingawa nakapenda.mara kibao kananisemea mdomoni oooooh dear hapo ndiyo huwa nazimia...
Habari za muda huu wana jamvini,naomba kuchukua nafasi hii kuomba kwenu msaada kwa ambaye anafahamu zilipo ofisi za umoja wa ma- blogger naomba msaada wa kunielekeza kwa kunipm.
Sent using Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.