Ukiona watu wanakuogopa, ukiona hawakuogopi

Ukiona watu wanakuogopa, ukiona hawakuogopi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,014
Reaction score
104,474
Ukiona watu wanakuogopa. Mke , watoto ukiingia nyumbani wanaingia vyumbani, ujue wewe si baba mwema, wewe ni dikiteita. katili!
Ukina watu hawakuogopi ujue wewe unakubalika na familia yako , na watu wako. Ujue kuwa nyumbani kwako kuna demokrasia, mke , watoto wako tayari kujadiliana na wewe!
 
Ukiona watu wanakuogopa jua na wewe mwenyewe unajiogopa hujiamini.

Na watu ambao hawajiamini huona kila jambo la ukweli linalosemwa juu yao ni umbea na uchochezi lakini linaposemwa kwa wengine ndio ukweli halisi.
 
mhh,mbn kama kuna mkuu unamsimanga?
uchochezi huo,utakamatwa upimwe mkojo,shauri zako...
 
mhh,mbn kama kuna mkuu unamsimanga?
uchochezi huo,utakamatwa upimwe mkojo,shauri zako...
ndio maana akatumia tafsida

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
Back
Top Bottom