Hata uchaguzi ukirudiwa lazima tuwapige za shingo NASA wameponzwa na magu na ccmUchaguzi wa Kenya unarudiwa!
Hapo ndiyo mwisho wa upeo wa akili yakeMkuu ndio umemaliza uzi
Huna akiliTayari!
Mwambie yule Bwana nanii atengue kauli yake ya kumpongeza Uhuru basi!Uchaguzi wa Kenya unarudiwa!
Mkuu kwani kwenda mahakamani ndio kushinda??? Mbona hujiongezi??Hahaha! mimi naona CCM haitarudi madarakani tena,kwa sababu wapinzani wataenda mahakamani kama Kenya !
odinga atawapa mbinu ukawa....
Uhuru Kenyatta ndiye Rais na Raila atajilaumu sana kujihusisha na ccmSawa.
Vyeti fekiNimemaliza.
Hii yoote ni aibu kwa CCM na mfumo wetu wa uchaguzi!! Sisi ni kama tunamchagua Mungu asiyehojiwa na mTz yeyote hii ni aibu hata kama unakejeliUchaguzi wa Kenya unarudiwa!