Maisha ya tajiri wa dunia Bill Gates

Maisha ya tajiri wa dunia Bill Gates

Maisha simple tu. No complications. Cheki mtu kama Myweather anavyoganya jeuri zake.
Ifike mahala tuseme Alitumia njia gani mpaka Amefika alipo?
Utamsema Floyd lakini hujui nyuma ya pazia amehangaika vipi mpaka leo anaitwa Floyd Money.
Hii itasaidia ku inspire vijana wengi zaidi.
9a2f7c81dd096a4136dcbcd275f9f44f.jpg
22e1f99680e5a9b380c7e1386ece9e69.jpg
 
Unataka kusema historia ya maisha ya nyuma ndio chanzo cha kujeli na dharau.?
 
Tofauti ya bill gates na matajiri wengine ni kubwa kwa sababu bill gates ameanza kugundua baadhi ya programme katika computer akiwa na miaka 13, pia ameanza kushika pesa bado mdogo umri wa miaka 19,

Matajiri wengine wengi wao hutajirika wakiwa na umri mkubwa 40 - 80 n.k

Watu weusi wengi ambao wamefanikiwa kimaisha huwa na kejeli, majigambo, ulimbukeni, sifa, n.k

Lakini watu weupe huona kawaida kumiliki pesa na wanahitaji kufanya kikubwa zaidi ya hapo alipo.

Bill gates hujitoa sana kusaidia jamii tofauti tofauti, na wenye shida mbali mbali tofauti na matajiri wengine kama aliko dangote, n.k

Bill gates anatumia mkono wa kushoto, wengi wao watu ambao wanatumia mashoto huwa na kitu cha ziada / kipekee katika maisha,
 
Ifike mahala tuseme Alitumia njia gani mpaka Amefika alipo?
Utamsema Floyd lakini hujui nyuma ya pazia amehangaika vipi mpaka leo anaitwa Floyd Money.
Hii itasaidia ku inspire vijana wengi zaidi.
9a2f7c81dd096a4136dcbcd275f9f44f.jpg
22e1f99680e5a9b380c7e1386ece9e69.jpg
HAKIKA MKUU KUNA WATU WANAONGEA SANA KUHUSU MAISHA YA MTU.KILA MTU ANAJUA ANAVYOTAFUTA PESA NA HUWEZI MPANGIA MATUMIZI YAKE AU AINA YA MAISHA.
VIJANA WASIOJIELEWA WA KITANZANIA NDIO WANAOONGOZA KUFUATILIA MAFANIKIO YA WATU MAARUFU NA KUTAKA KUWAPANGIA AINA YA MAISHA KAMA WALIMSAIDIA KUTAFUTA PESA HIZO.
 
Tofauti ya bill gates na matajiri wengine ni kubwa kwa sababu bill gates ameanza kugundua baadhi ya programme katika computer akiwa na miaka 13, pia ameanza kushika pesa bado mdogo umri wa miaka 19,

Matajiri wengine wengi wao hutajirika wakiwa na umri mkubwa 40 - 80 n.k

Watu weusi wengi ambao wamefanikiwa kimaisha huwa na kejeli, majigambo, ulimbukeni, sifa, n.k

Lakini watu weupe huona kawaida kumiliki pesa na wanahitaji kufanya kikubwa zaidi ya hapo alipo.

Bill gates hujitoa sana kusaidia jamii tofauti tofauti, na wenye shida mbali mbali tofauti na matajiri wengine kama aliko dangote, n.k

Bill gates anatumia mkono wa kushoto, wengi wao watu ambao wanatumia mashoto huwa na kitu cha ziada / kipekee katika maisha,
ipo gud mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom