Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Startimes ambao ni watoaji wa huduma za visimbusi kupitia masafa ya sattellite na terrestrial hatimaye wamekuja na kifurushi cha siku,wiki na mwezi Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Mtu mmoja Hamisa Ally Mpulanya mwenye umri wa miaka 52 mkazi wa kijiji cha Kalulu wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, ameuawa kwa kushambuliwa na kundi la tembo wakati akitoka shambani kwake huku...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ni halali kwa baraza la madiwani kufukuza watumishi ktk halmashauri yoyote hapa Tanzania bara!!!!!???? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Fisi waliwashangaza walinzi wa mwili wa mama aliyeuawa kwa kukanyagwa na tembo kwa kukata baadhi ya viungo vyake na kuondoka navyo wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma. Marehemu aliyekatwa viungo...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
On looking politics on another face of the politics dice here are things I have learn from our Politician; 1.Never stop trying like Lipumba coz the best never rest. 2.Be patiently like Raila...
0 Reactions
2 Replies
704 Views
Kunamahali watu kama watatu walinunua bomba kama mita mia ,,wakajiunganishia dawasco kwa fundi kishoka alafu wakaenda dawasco kuomba maji,,sawa wanawazuia watu wengine wasilitumie hili bomba...
0 Reactions
3 Replies
944 Views
Katika hali isiokuwa ya kawaida baadhi ya wananchi wenye mahitaji ya leseni za udereva ,wamekumbwa na mshangao hapa jijini Mbeya baada ya kuambiwa kuwa hawataweza kupata kadi mpk baada ya mwezi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tukio la jana tarehe 08/ 08 askari wa doria kituo cha Mabatini Mwanza kumpiga mwenyekiti wa mtaa, na kumpiga risasi mke wake linahitaji maelezo ya kina. Hii ni kashfa, SMG ni siraha hatari...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Hivi mateso ya nmb master card yataisha lini? Gharama mnazo tupa wateja nikubwa mno, ~3500 kwakila muamala kutoka 600 tulio kuwa tunachajiwa kwa ATM. Alaf hiliswala linakuja mwisho wa mwez Ambapo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wizara ya Afya Baadhi ya wahudumu kuondoka kituo cha kazi kila weekend na kwenda mijini kwa matanuzi.Kuna kituo kinaitwa Usengelindete kata ya Wasa Mkoani Iringa tuonaomba Mganga Mkuu Wa Wilaya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tafiti zadai wanawake/watoto wa kike, wanaongea maneno 20,000 dhidi ya 7,000 kwa kina kaka/baba! Khaa! Viumbe wa ajabu aise hawa... Si mchezo, ni kama unafungulia bomba la maji! Ni uwezo wa ajabu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kila nikienda uwanja wa Taifa kuangalia mechi za timu ya Taifa au Ligi Kuu yetu lazima nikutane na misongamano isiyo na sababu huku Askari Polisi wakiwa wakali kama pili pili kwenye ma Gate na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
D. Balile - Mhariri wa JAMHURI na Mkoko, wapo Azam Two na Morning Trumpet. Balile: Kuhusu Kenya, Katiba ya Kenya haisemi ktk kipindi hiki cha mpito, Binge Lipi litakaa, la zamani ama jipya ili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu.. Naomba niwasilishe Salamu za Huyu Jamaa.. Honestly I wish nionane naye Live tunaongea kwa Mitandao sasa ni Muda wa Kumuona Live.. Keep on flying Brother
13 Reactions
66 Replies
8K Views
Habari Kama. tittle inavyojieleza ,siku izi wizi kupitia mtandaoni umezidi.kuna baadhi ya web & social network zinasema unaweza jishindia pesa kwa kusambaza ujumbe wao.Angalia hizi picha usome...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Top 10 Sniper Rifles...
3 Reactions
27 Replies
13K Views
Salam jaman husika na kichwa cha habari hapo juu natafuta shule ya advance mchepuo wa PCB mikoa ya morogoro Arusha Tanga na moshi please mwenye information yoyote nichek Mobile: 0769500302...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Nawasalimu wana jukwaa. Mi naomba kujua utaratibu wa kuchange flight date ukiwa na tiketi ya fastjet na je kuna gharama zozote za ziada? Nawasilisha. Ahsanteni sana.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa wale waishio Mbezi mtaa wa Temboni_Bwaloni kwa Musuguli kuna huyu dk ana maabara yake karibu na ofisi ya serikali ya mtaa.Amewasaidia wengi toka Kairuki hospital ,Bosch hospital ,Kwa Bigambo...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom